Kwanini Mukama alipigwa chini ukatibu mkuu CCM?

Pamoja na kuwa CCM kimejaa mafisadi, kina sifa moja ambayo vyama vingine vya siasa havina. Viongozi wa CCM wanadondoka baadaye wanarudi tena.

CUF, CDM and UDP ina masultani. Watu hawaachii nafasi.
 
Pamoja na kuwa CCM kimejaa mafisadi, kina sifa moja ambayo vyama vingine vya siasa havina. Viongozi wa CCM wanadondoka baadaye wanarudi tena.

CUF, CDM and UDP ina masultani. Watu hawaachii nafasi.

Na wakidondoka hawahami chama!!. Yote tuseme lakini CCM angalau wanaachiana madaraka! CUF!! TLP!! CDM?!
 
Na wakidondoka hawahami chama!!. Yote tuseme lakini CCM angalau wanaachiana madaraka! CUF!! TLP!! CDM?!


Hii ni point kubwa. Mukama atatulia na baadaye atarudi tena. Mwambie Dr. Slaa au Maalim Seif waachie vyeo vyaka kama hawafi na mtu.
 

Mkama hakujua kama jk ni msanii anaongea vitu ambavyo hawezi kufanya, nye akaingia kichwakichwa na mambo yake ya kizamani na uropokaji alidhani yeye ana madaraka makubwa kwenye chama kama Slaaa alivyom jitosheleza chadema
 
CCM wako last saloon, on their facial surgical. Wanaumwa gonjwa baya sana lazima waondoke
 
Ameachwa kwa sababu CCM hawajui majukumu ya katibu mkuu. Walitegemea awe mpiga domo, wakati yeye ni mratibu wa shughuli za chama. Mpiga domo mkuu ni mwenyekiti ambaye kwa bahati mbaya ni mkumbatia madaraka na ndio maana hakuna hata upande mmoja alikoweza kutekeleza majukumu yake kwa umahiri.


Mmmh, hili jiwe unalolitupa linapiga ndege wengi. Ngoja wenye ndege waje wakushukie.

Kama utendaji wa Mkama ulikuwa sahihi, je vipi makatibu wakuu wa vyama vingine ambao kila kukicha wako majukwaani wanapiga kelele. Are you serious?
 
Labda ingekuwa vizuri yeye akatupa sababu ambazo anafikiri zilimfanya asiteuliwe na JK .lakini sijui kama anao ujasiri wa kutueleza kilichomsibu.
 
Waliosoma mathematics wanaamini kuwa hesabu huhesabiwa hivi....... 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 0................... hilo ndilo ndilo jibu.
 
Mukama hakujua,siasa ni mchezo wa kuigiza.!!!,lazima uwe tayari kusema uongo,kama vile NAPE anavyofanya.

Eti,yeye{Mukama} anasema mbona Nape anaongea mambo bila Katibu Mkuu kufahamu,hajui kwamba Mwenyekiti,anaangalia mtu wa kufanya naye usanii,bali yeye Mukama aliwekwa kufanya kazi ya kurudisha imani kwa wanachama ili wahisi kunamabadiliko ndani ya chama,kumbe ni USANII.!!
 
Muda wake ulishaisha(Expire) hivyo alitakiwa kutupwa mbali(Dispose).

Ni mtindo wa JK kuwatumia wenzie ndani ya chama kama Condom, ikishatumika inaitupa mbali.
Kwa mfano:
1/Samwel Sitta
2/Yusuph Makamba
3/John Chiligati
4/Pius Msekwa
5/Wilson Mukama

*Huu ni wakati wa Mangulla na Kinana kutumiwa kama Condom!!

Mkuu Concrete!!!!!!!!Haya ni matusi tunajua kwamba JF ni uwanja wa wazi lakini jaribu kujitizama the way ulivyo halafu ujilinganishe na haya maneno yako kama uko sawasawa,wakati mwingine huwa tunajiharibia heshima sisi wenyewe!!!!!!
 
sababu n i kua mukama ni muongo,alidanganya kua cdm ktk uchaguzi mdogo wa igunga waliingiza makomando kutoka nje ya nchi..
 
Waliosoma mathematics wanaamini kuwa hesabu huhesabiwa hivi....... 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 0................... hilo ndilo ndilo jibu.


kwa hiyo nikihesabu 01010101010 nalo ni jibu?
au 0120120120120120120
au 0123456789ABCDEF0123456789ABCDEF0
 
Back
Top Bottom