Emptiness kama venyewe tulikua hatujazaliwaKwa sababu huwa hatujui ni nini kinafuata baada ya kifo.
Uko sahihi kwa mtazamo wa symmetry argument.Emptiness kama venyewe tulikua hatujazaliwa
Wacheki hapo chini adriz Makebo mdogoee na Kubwa la Maadui wakikata mauno hadharani hawaogopi chochote.anaweza kusikia mziki unapiga mbele Za watu akaogopa kucheza, ila akiwa mwenyewe ndani anakata mauno.
Naombeni nijue wataalam
Fear is your brain's built-in alarm system designed to keep you alive. It is a natural and healthy emotion that helps you react quickly to danger.Jamani tuachane na maelezo ya kawaida I need genuine explanation. Kuna jitu litajibu Kikawaida, nataka psychological, cultural, biological and scientific reasons
What causes fear, na why do we fear to die... Na wengine hata huogopa kuwa wao na kufanya vitu watakavyo.. Mfano mtu anaweza kusikia mziki unapiga mbele Za watu akaogopa kucheza, ila akiwa mwenyewe ndani anakata mauno.
Naombeni nijue wataalam
So unataka kusema uncertainty is the cause of fear? Je mbona mtu kwa mfano imetokea mtoto wake kavamiwa au anahitajika a risk maisha yake kwa ajili ya survival ya mtoto. Kwanini hisahau kuhusu kifo kwa muda na kuface ile fear?Kwa sababu huwa hatujui ni nini kinafuata baada ya kifo.
Fear of unknownJamani tuachane na maelezo ya kawaida I need genuine explanation. Kuna jitu litajibu Kikawaida, nataka psychological, cultural, biological and scientific reasons
What causes fear, na why do we fear to die... Na wengine hata huogopa kuwa wao na kufanya vitu watakavyo.. Mfano mtu anaweza kusikia mziki unapiga mbele Za watu akaogopa kucheza, ila akiwa mwenyewe ndani anakata mauno.
Naombeni nijue wataalam
Nakuona apostleWacheki hapo chini adriz Makebo mdogoee na Kubwa la Maadui wakikata mauno hadharani hawaogopi chochote.
View attachment 3617821
Kinachotokea hapo kitaalamu ni biological override yani ubongo unatambua kuwa kumpoteza mtoto ni kifo cha aina nyingine hivyo unajenga priority mpya.So unataka kusema uncertainty is the cause of fear? Je mbona mtu kwa mfano imetokea mtoto wake kavamiwa au anahitajika a risk maisha yake kwa ajili ya survival ya mtoto. Kwanini hisahau kuhusu kifo kwa muda na kuface ile fear?
Kama vitu gani asivyovijua kumhusu?Mbona unknown ya kesho itakuaje! before death haigopwi?
Why unknown? Mpk leo binadamu hajui vitu vingi kumhusu na haogopi kwa nini aogope kifo?
Nimeipata concept thanks for reminder..Kinachotokea hapo kitaalamu ni biological override yani ubongo unatambua kuwa kumpoteza mtoto ni kifo cha aina nyingine hivyo unajenga priority mpya.
Hofu ya kumpoteza mtoto inakuwa ni kubwa kuliko ile hofu uliyo kuwa nayo juu ya kifo chako mwenyewe.
Kabla ya kuzaliwa nini kilifuata?Kwa sababu huwa hatujui ni nini kinafuata baada ya kifo.