Kwanini MO Dewji anataka kufunga kiwanda chake cha chai Nchini Tanzania? Bashe amgomea!

Watu hawaangalii maslahi ya nchi, wapo kwaajili ya personal gains, vinginevyo hii isingetokea katu hata siku Moja kuacha watu wachache wamiliki uchumi wa nchi
Issue iliyovuja na mdau humu JF alisema Mo anafungia Sukari kwenye Godown zake ndio maana Sukari ikawa vile, hio ni gandalamua la Jana
 
Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga viwanda vyake.

Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na serikali kwanza kabla hajachukua uamuzi huo, ambao unatarajiwa kuathiri watu wengi wanaofanya kazi kwenye viwanda hivyo .

Lakini swali letu ni hili, kwanini MO amefikia hatua ya kufunga viwanda vyake alivyovijenga kwa gharama kubwa na kufunga mitambo ya kisasa? kuna nini?

Swali jingine ni hili, kwanini jambo hili lishughulikiwe na Wizara ya kilimo badala ya Wizara ya Viwanda?

View attachment 2946409
Huyo jamaa anadeka sana
 
Kuna thread humu mtu huyohuyo alidai kwamba anataka kulima hekta laki moja
Inawezekana kabisa akawa anataka kulima hekta laki moja za mazao fulani, halafu anafunga kiwanda kinachohusisha mazao tofauti.

Tena inawezekana akawa anafunga kiwanda ili aongeze nguvu kwenye kulima hizo hekta laki moja.

Hakuna contradiction hapo.

Kuna video ya Bashe ipo kwa Millard Ayo. Utata ni kama serikali imemkatalia kufunga kiwanda, imemuomba asifunge kiwanda, au labda kwa Tanzania kuombwa na serikali usifunge kiwanda na kukataliwa na serikali usifunge kiwanda hakuna tofauti.

Marehemu Alhaji Ali Hassan Mwinyi alitufundisha habari za "ombi la mkubwa ni amri" 🤣🤣🤣
 
Inawezekana kabisa akawa anataka kulima hekta laki moja za mazao fulani, halafu anafunga kiwanda kinachohusisha mazao tofauti.

Tena inawezekana akawa anafunga kiwanda ili aongeze nguvu kwenye kulima hizo hekta laki moja.

Hakuna contradiction hapo.
Chief mengine yataibuka tu

Huyo jamaa ni janja janja sana

Hata viwanda alivyochukua serikalini vingine havitendei haki

Kwenye katanı anakausha damu tu
 
Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga viwanda vyake.

Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na serikali kwanza kabla hajachukua uamuzi huo, ambao unatarajiwa kuathiri watu wengi wanaofanya kazi kwenye viwanda hivyo .

Lakini swali letu ni hili, kwanini MO amefikia hatua ya kufunga viwanda vyake alivyovijenga kwa gharama kubwa na kufunga mitambo ya kisasa? kuna nini?

Swali jingine ni hili, kwanini jambo hili lishughulikiwe na Wizara ya kilimo badala ya Wizara ya Viwanda?

View attachment 2946409
Ayafunge tu, maviwanda ya kutengeneza energy nani anayataka
 
Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga viwanda vyake.

Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na serikali kwanza kabla hajachukua uamuzi huo, ambao unatarajiwa kuathiri watu wengi wanaofanya kazi kwenye viwanda hivyo .

Lakini swali letu ni hili, kwanini MO amefikia hatua ya kufunga viwanda vyake alivyovijenga kwa gharama kubwa na kufunga mitambo ya kisasa? kuna nini?

Swali jingine ni hili, kwanini jambo hili lishughulikiwe na Wizara ya kilimo badala ya Wizara ya Viwanda?

View attachment 2946409
Mo hata hii kampuni tanzu ya simba sports itakua ndio basi tena!
 
Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga viwanda vyake.

Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na serikali kwanza kabla hajachukua uamuzi huo, ambao unatarajiwa kuathiri watu wengi wanaofanya kazi kwenye viwanda hivyo .

Lakini swali letu ni hili, kwanini MO amefikia hatua ya kufunga viwanda vyake alivyovijenga kwa gharama kubwa na kufunga mitambo ya kisasa? kuna nini?

Swali jingine ni hili, kwanini jambo hili lishughulikiwe na Wizara ya kilimo badala ya Wizara ya Viwanda?

View attachment 2946409
Na Thiiimbaaaa nayo ataifunga aondoke nayo.
 
Asibembelezwe afunge asepe penguine ametosheka au hapati faida
 
Back
Top Bottom