Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 3,678
- 6,267
Mwingi ndio nini? Vijana hii misamiati yenu muwe makini mnakimaa tu Mama anakupiga mwingi hua mnamchungulia akiwa na Baba yenu? Kizazi korofi kabisaMama anaupiga mwingi sana

Kwa hio una suggestions zipi ndugu mwandishi?Ukiona mwekezaji anafikia hilo mara nyingi huwa ni misunderstanding with Government hasa kipengele cha kodi.
Pia masharti ya biashara na kinga ya mwekezaji kutokuzingatiwa.
Mo Hata Makolo FC imeshamshindaUkiona mwekezaji anafikia hilo mara nyingi huwa ni misunderstanding with Government hasa kipengele cha kodi.
Pia masharti ya biashara na kinga ya mwekezaji kutokuzingatiwa.
Issue iliyovuja na mdau humu JF alisema Mo anafungia Sukari kwenye Godown zake ndio maana Sukari ikawa vile, hio ni gandalamua la JanaWatu hawaangalii maslahi ya nchi, wapo kwaajili ya personal gains, vinginevyo hii isingetokea katu hata siku Moja kuacha watu wachache wamiliki uchumi wa nchi
Mr JanjajanjaIssue iliyovuja na mdau humu JF alisema Mo anafungia Sukari kwenye Godown zake ndio maana Sukari ikawa vile, hio ni gandalamua la Jana
Uwaziri unampagawisha. Anakuwa anatumia nguvu sana, anaamrisha sana.Huyu Bashe .....mbona siku hizi kama karogwa?.....huko nyuma hakuwa hivyo.
Huyo jamaa anadeka sanaZipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga viwanda vyake.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na serikali kwanza kabla hajachukua uamuzi huo, ambao unatarajiwa kuathiri watu wengi wanaofanya kazi kwenye viwanda hivyo .
Lakini swali letu ni hili, kwanini MO amefikia hatua ya kufunga viwanda vyake alivyovijenga kwa gharama kubwa na kufunga mitambo ya kisasa? kuna nini?
Swali jingine ni hili, kwanini jambo hili lishughulikiwe na Wizara ya kilimo badala ya Wizara ya Viwanda?
View attachment 2946409
Kuna thread humu mtu huyohuyo alidai kwamba anataka kulima hekta laki mojaTunahitaji kuhakiki habari kwanza, maana siku hizi matango pori mengi.
Tunahakikishaje hii habari ina uhalisia na si ya uzushi tu?
Inawezekana kabisa akawa anataka kulima hekta laki moja za mazao fulani, halafu anafunga kiwanda kinachohusisha mazao tofauti.Kuna thread humu mtu huyohuyo alidai kwamba anataka kulima hekta laki moja
Chief mengine yataibuka tuInawezekana kabisa akawa anataka kulima hekta laki moja za mazao fulani, halafu anafunga kiwanda kinachohusisha mazao tofauti.
Tena inawezekana akawa anafunga kiwanda ili aongeze nguvu kwenye kulima hizo hekta laki moja.
Hakuna contradiction hapo.
Haswa maana anayemlinda Bashite ni yule alikuwa msaidizi wa Dikteta MwendazakeLabda Bashite anataka kumfanyia umafia kama wa mwanzo.
Tufuatilie kitaeleweka tu.Chief mengine yataibuka tu
Huyo jamaa ni janja janja sana
Hata viwanda alivyochukua serikalini vingine havitendei haki
Kwenye katanı anakausha damu tu
Ayafunge tu, maviwanda ya kutengeneza energy nani anayatakaZipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga viwanda vyake.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na serikali kwanza kabla hajachukua uamuzi huo, ambao unatarajiwa kuathiri watu wengi wanaofanya kazi kwenye viwanda hivyo .
Lakini swali letu ni hili, kwanini MO amefikia hatua ya kufunga viwanda vyake alivyovijenga kwa gharama kubwa na kufunga mitambo ya kisasa? kuna nini?
Swali jingine ni hili, kwanini jambo hili lishughulikiwe na Wizara ya kilimo badala ya Wizara ya Viwanda?
View attachment 2946409
Mo hata hii kampuni tanzu ya simba sports itakua ndio basi tena!Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga viwanda vyake.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na serikali kwanza kabla hajachukua uamuzi huo, ambao unatarajiwa kuathiri watu wengi wanaofanya kazi kwenye viwanda hivyo .
Lakini swali letu ni hili, kwanini MO amefikia hatua ya kufunga viwanda vyake alivyovijenga kwa gharama kubwa na kufunga mitambo ya kisasa? kuna nini?
Swali jingine ni hili, kwanini jambo hili lishughulikiwe na Wizara ya kilimo badala ya Wizara ya Viwanda?
View attachment 2946409
Na Thiiimbaaaa nayo ataifunga aondoke nayo.Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga viwanda vyake.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na serikali kwanza kabla hajachukua uamuzi huo, ambao unatarajiwa kuathiri watu wengi wanaofanya kazi kwenye viwanda hivyo .
Lakini swali letu ni hili, kwanini MO amefikia hatua ya kufunga viwanda vyake alivyovijenga kwa gharama kubwa na kufunga mitambo ya kisasa? kuna nini?
Swali jingine ni hili, kwanini jambo hili lishughulikiwe na Wizara ya kilimo badala ya Wizara ya Viwanda?
View attachment 2946409
Sawa sawa maana humu JF siku hizi huwa watu wanakurupuka kujadili hata uzushi ili mradi wanakosoa serikaliTunahitaji kuhakiki habari kwanza, maana siku hizi matango pori mengi.
Tunahakikishaje hii habari ina uhalisia na si ya uzushi tu?
Asibembelezwe afunge asepe penguine ametosheka au hapati faidaZipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga viwanda vyake.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na serikali kwanza kabla hajachukua uamuzi huo, ambao unatarajiwa kuathiri watu wengi wanaofanya kazi kwenye viwanda hivyo .
Lakini swali letu ni hili, kwanini MO amefikia hatua ya kufunga viwanda vyake alivyovijenga kwa gharama kubwa na kufunga mitambo ya kisasa? kuna nini?
Swali jingine ni hili, kwanini jambo hili lishughulikiwe na Wizara ya kilimo badala ya Wizara ya Viwanda?
View attachment 2946409
Tatizo amedekezwa sanaMO ni tapeli sana