We endelea kutetea viwanja vya migogoro ( single mothers)
Then what?🤣🤣🤣sikia ww kama ww hutaki kuoa single mother ni chaguo lako,hakuna mtu anayepangiwaa kitu,maisha haya tupo huru lakini ni muhimu mno kuheshimu utu na uwe na ubinaadamu.Single mother ni binaadamu na mwanamke kama wengine wote au we ulizaliwa na mbuzi? Yeye ameleta uhai duniani baadala ya kuua kiumbe kisicho na hatia we unakuja hapa na porojo hewa tu?Hivi unajua uchungu wa kuzaa wewe kunguru wa manzese?
 
Then what?sikia ww kama ww hutaki kuoa single mother ni chaguo lako,hakuna mtu anayepangiwaa kitu,maisha haya tupo huru lakini ni muhimu mno kuheshimu utu na uwe na ubinaadamu.Single mother ni binaadamu na mwanamke kama wengine wote au we ulizaliwa na mbuzi? Yeye ameleta uhai duniani baadala ya kuua kiumbe kisicho na hatia we unakuja hapa na porojo hewa tu?Hivi unajua uchungu wa kuzaa wewe kunguru wa manzese?
Wanawake bhana mkiambiwa ukweli utaskia ni sawa na mama ako aliekwambia female humanoid wote ni sawa ni nani ...sijui nimekuzaa acheni kutumia hii sababu kuficha ujinga wenu eti ndo msikosolewe mnapokosea ... halafu isitoshe sio wote mnazaa na hamjizalishi wenyewe nyie sio asexual so ondoa hizo bullshit
yaani ni sawa sawa niseme Females na males Ni sawa maana wote wana bulbourethral glands

Uzuri hawa single mother wengi tushajifunza so kama nilivyokwambia endelea kuwatetea

Kuhusu uchungu wa kuzaa hainuhusu haipo kwenye bailojia yangu
 
You had a whole week to think of writting this idiotism like seriously?🤔

Vizuri umejifunga kamba za miguu mwenyewe!Umesema sisi sio asexual well its true hatujizalishi so dont get over your head and get out of point,every part should take their damn responsibilty kama mnajua hatujizalishi!

And stop spinning the coin around,nyie mkiambiwa ukweli mnasikia???hizi kelele zako zote ni kama debe tupu hapa ni kithibitisho tosha!

Nimeleta uchungu wa kuzaa coz ur comparing a woman to an animal.
Are you confused dude?I think something must be seriously wrong with you!!
 
You had a whole week to think of writting this idiotism like seriously?

Ni kwa vile sikupata notification za hili povu lako nimepita nimekutana nalo

Ushaambiwa toka huko juu single mother tunawaozunguzia Ni wapi hatujaambiwa wajane ,wala wala waliobakwa na kupata mimba hawa wengine hawa slay Queens dada za mjini unasema tuwe responsible kivipi... of course labda malezi ya mtoto lakini kuhusu hizo tabia zao hatuhusiki

Siku zote mtoto wa kike unatakiwa kujiheshimu na kuwa na maadili maana katika lile tendo nyie ndio waathirika zaidi kuliko wanaume mfano ndo tunaona single mother ie kupata mtoto kwa njia ambayo siyo ya kimaadili yetu

(hapa kuna wanawake hawahusiki kwenye hili kundi kama wajane,waliotelekezwa kwenye ndoa,waliobakwa nakupata mimba na kuzaa)

sasaa mngejitunza na kuzuia hivyo vishawishi ..na kuzaa sio kosa ila mngefanya katika utaratibu maalumu wa kimaadili yetu nadhani hata wale wapigaji na kusepa mngewakwepa kwa kiasi kikubwa mngeshinda vishawishi vikubwa....

sasa usipende kulingana na mwanaume sijui achukue nae blame ..and then what ? Maana kama ulishindwa wewe kujiheshimu huyo mwanaume afanyaje sasa ? na uzuri mnafanya kwa akili zenu na matakwa yenu

Are you confused dude?I think something must be seriously wrong with you ?

Ndo huo mfano wa uchungu usiulete hapa hio ni kama bailojia yenu tu and yes hata wanyama wanawake wanasikia uchungu wakizaa na wao pia wana marternal instincts

Etii ohh unatufananisha na mnyama yes hata man.. mwanaume. nae ni animal vile vile .mnapenda sana ku play victims

Ndio maana nikasema hapo juu kunavisababu vyenu mnapenda kuvitumia sana vya kizamani lakini haviwezi kujustify upuuzi unaofanywa na baadhi yenu kisa nao ni wanawake kama nyinyi
 
Hukupata notification?I guess ulikuwa busy kwenye uzi zangu nyingine unaandika utoporo wako!

We sema unalotaka but the end of the umeproove huna heshima ni moja na haibadilishi uhalisia kujitunza wajitunze wote,so we can go back and forth the whole day if you like.

Responsibility ni ya wote kama mwanaume nae angejitunza kusingekuwa na single mother wala single father tusichoshane!Kama siku zote ilikuwa mwanamke anapewa lawama sasa ni wakati wa mabadiliko lawama ni ya wote!

Na nadhani hujaelewa maudhui ya uzii sijasema single mothers wote ni sawa so usilete porojo nyingi kwasababu ushaandika pumba tangia juu kuwa bora uoe mbuzi!We kaoe huyo mbuzi wako hilo tumekubali.Sawa maana huna adabu ka huyo Kunguru!
 
Sasa we endelea kusema lawama ya wote maana unaleta mashindano na wanaume badala ya kuangalia upande wako na faida zako

Hayo mabadiliko utasubiri sana na cha ajabu hamkuanza leo kuyahitaji .

Ni hayo tu ma mkwe
 
Usichonielewa mimi naanglia how kuepuka janga hili kwasababu si mnawasema mabinti wakionywa na kujitunza itasaidia,swali la kujiuliza je inasaidia?Jibu ni NO haisaidii na hali inazidi kuwa mbaya!

So inabidi strategic plan ibadilike kwasababu haisaidii mkiwaonya mabinti angali mwanaume haonywi wala hasemwi na wao wana mchango mkubwa katika janga hili!

Jingine wote wanawatakiwa wafundishwe pia jinsi ya kustarehe na kuepuka mimba sizisotarajiwa kama mwanaume umekutana na binti irresponsible chukua ww responsibility hakikisha shahawa zako hazisambai tu bure.Condom zipo za wanaume na wanawake.Uliza binti kama anatumia uzazi wa mpango.Au hata kama imetokea bahati mbaya umekojolea ndani mnunulie after night pill ale basi!

Hili la kuwasimanga wanawake halisaidii kitu mnaonesha udhaifu na upeo wa fikra mfupi.Kwasababu wanaume watie mimba watu,wakimbie majukumu,ikisha lawama wambebeshe mwanamke,hii sio haki!
 
Sita andika uzi nitoe povu langu.
Ngoja niseme hapa kwa uchache.

Single mother wengi hata wao hawajiamini hata kidogo,
Akijiangalia unakuta anajijua anatabia nyingi mbovu na bako kazalishwa,, so anaona ni ngumu sana kuja kupata mume mpya akaheshimika kwenye ndoa.
Wasi wasi anakua nao yeye mwenyewe

Pili wengi wao unakuta hakuna hata sababu za msingi za kuachana na mwanaume wake aliye mbebesha mtoto.

Kuna single mother nilimuuliza baba mtoto upo nae, akasema hapana toka nijifungue nimemchukia tu na simpend.

Nikabaki najiuliza hizi ni akili au bangi ?

Mwanamke mwenye tabia jema, hueshimika tu bila kujali, yani hata mwanaume mwingine akikupata atakua anamcheka na huyo aliyekuacha na kumuona mpumbavu.

Ukiwa na tabia mbovu na bado ni single mother yani utatukanwa sanaaaa.
 
Mfano hai soma post zilizojiri humu kwenye huu uzi hapa!Si wanawake si wanaume wanawakandamiza single mothers!
Bora ulivyobadilisha statement ya mwanzo, you've written in a more polite way.

Kila mtu aheshimu status ya mwenzake, kuwa single parent sio ugonjwa wala ulemavu. Mtu alee watoto wake regardless.
 
Back
Top Bottom