pavel
JF-Expert Member
- Aug 19, 2015
- 254
- 183
Mkuu acha kujidanganya, UONGOZI KAMA NI SHIDA HAKUNA MAENDELEO HAPO.Hakuna changes if we depend on viongozi tu
It starts in thr households
Mfano ule mradi wa dege, kwann umesimama? Pesa zilzowelwa pale je? Kama Ule mpango ulifanyiwa upembuzi yakinifu kwann mtu kaamka tu na kuuzima? Kama kulikiwa na upigaji, ni nani amewajibishwa.
Sasa wewe utachangia nin kwenye ule mradi wa dege ?? Changes za nyumbani kwako zifanye, lkn ztaenda kuongeza idadi ya tunaolalamikia Serikari na hatusikilizwi.