Kwanini miji ya Africa mingi ipo disorganised?

Kwanini miji ya Africa mingi ipo disorganised?

Ndio maana Africans hatuheshimiwi na watu wa nchi za nje. Huku ni kwetu na hadi leo pako hivi, miaka 60+ ya uhuru, Africa bado ipo kwenye hali tete
Yaani nature ya mwafrika ni disorganized na inaanza kwenye mila huko

South africa bila mtu mweupe leo hii joberg pretoria or cape town pasingekuwa organized palivyo sasa
 
Na mbaya zaidi ya 90% ya sisi black mambaz tunakaa na mavi kwenye makazi ,ni 10% tu ndio wameunganishwa na mfumo wa majitaka (central sewer system )kukaa na mavi akili mzitoee wapi 😁😁
Aaah dadekii😅😅💪
 
Hili ni jibu la mtoa mada au umeamus kuandika tu mkuu?
Mimi ndio nimeleta mada, na mimi ndio nimeandika hiyo comment
Moja ya sababu zinazofanywa tusiheshimiwe ni pamoja na kuwa nyumbani kwetu hatujapajenga vizuri. Kama Africa ingekuwa well organised most of the places tungekuwa respected
 
Yaani nature ya mwafrika ni disorganized na inaanza kwenye mila huko

South africa bila mtu mweupe leo hii joberg pretoria or cape town pasingekuwa organized palivyo sasa
Lakini mila zetu tuliziacha long time ago tukachagua civilization. Naona inatushinda sasa, mbaya zaidi population inazidi kukua, umasikini unaongezeka so maeneo disorganised yatazidi kuongezeka
 
Kwa sababu civilization ni kitu tuliletewa na mkoloni, ni kama uende porini uwakute nyani uwalazimishe kuvaa suti kwa viboko halafu baadaye uondoke uwaache, mwisho wa siku utakuta wapo hovyo kimpango wao kwa sababu mavazi sio kitu walichojifunza wenyewe kutokana na changamoto za maisha yao
Civilization haikuletwa na mtu mweupe, it was there before mtu mweupe

Sasa ita depend na culture ya eneo husika
 
Mimi naona shida ni wizara ya ardhi na halmashauri za miji zinashindwa kusimamia ugawaji wa maeneo vizuri, pia wanashindwa kutengeneza sheria ndogo ndogo za mazingira. Matokeo watu wanajiuzia maeneo kiholela bila kufuata utaratibu sehemu ya nyumba mbili zinakaa nyumba 7 hakuna hata eneo la kupanda mti , kwa mfano jiji la Mbeya siku za nyuma lilikuwa la kijani, kwa sasa hvi sehem kubwa za Mbeya zimekuwa kama uswazi hakuna miti tena ni vumbi kali kika sehemu kila kaeneo kadogo kanajengwa, Ulaya sehemu kubwa nyumba huwa zina maeneo makubwa.

Ulaya kila kilomita mbili tatu kuna parks, gardens.

Nyumba nyingi zina gardens usipo maintain bustani yako majani yakakuwa sana bila mpangilio wanapewa onyo, ikijirudia Mara nyingi unapewa faini, council, serikali ya jiji inakuja na kufanya usafi.
 
Sio tu uchafu, na mpangomji pia naongelea
Mfano hapa ni Ibadan, Nigeria. Angalia jinsi mji ulivyo hauna mpangilio
View attachment 3514815

Hivi kwanini mabati ya nyumba nyingi nne kati ya tano yameoza na yana kutu?

Watu hawawezi kununua mabati yenye guarantee kwa miaka ishirini, hamsini?

Kwanini usibadilishe baada ya miaka 20. Hata kupaka rangi nyumba iwe na muonekano mzuri ni shida. Tatizo sio pesa ni mentality.
 
Hali ya hewa ya Tanzania Iko dynamic sana ukitaka kuamini nenda Dodoma Kuna kipindi unakuta temperature Iko 16C kuanzia saa moja kukikucha Centigrade inasoma 37 hapo utaweka bati gani mkuu? Labda tuzungumzie njia za mtaani tu zinapitika?
 
Nimejenga falcon, mabati ya zamani yalikaa muda mrefu bila kupata kutu. Nafikiri pia inategemea geji gani unatumia 28, 30, 32 upo karibu na bahari na vitu vingine vya kimazingira.

Ila Afrika kusini, Dubai, sijaona haya mambo. Temperature inashuka usiku hadi minus zero kwenye jangwa inapanda sana mchana.

Muhimu uwe na mipanga baada ya miaka 10,20 badilisha.
 
Hakuna kitu sipendi kama mtu anayesema "Nauza kiwanja kipo karibu na barabara"
 
Ukiona mtu anagombania chakula au Sehemu anatakiwa achukue sahani moja yeye anachukua zaidi ujue huyo mtu akili zake haziko sawa
 
Wazungu weekend wanajipanga kwenda kuondoa takakata mitaani kwao. Wazee asubuhi saa 5 au 6am wanachukua bin bags kuchukua uchafu mtaani kwao.

Familia, mtaa, kata nzima saa nne asubuhi wanakutana kuchukua uchafu mtaani kwao. Kusaidia homeless wanajipanga kama sungusungu na magari yao.

Wana makundi ya maana kama usafi wa mtaa, afya. Shule, meditation, vyakula vya asili, jinsi ya kuzuia magonjwa kwa chakula, kusimamia serikali ya mtaa wao. Kiufupi mtaa wao uwe shwari.
 
Nimejenga falcon, mabati ya zamani yalikaa muda mrefu bila kupata kutu. Nafikiri pia inategemea geji gani unatumia 28, 30, 32 upo karibu na bahari na vitu vingine vya kimazingira.

Ila Afrika kusini, Dubai, sijaona haya mambo. Temperature inashuka usiku hadi minus zeo kwenye jangwa inapanda sana mchana.

Muhimu uwe na mipanga baada ya miaka 10,20 badilisha.
I appreciate that mkuu, ila so Kila mtu ana afford that,durable building materials siko zote ni Italian made hawa watu tangu karne na Karne wana kasiri kao, geji can be kama unavyosema ila composition ya materials matters the most. Mfano nliuuziwaga mabati transparent matano ya mtaliano since 2003 asee hayo mabati nliyatafuta sana sikuwahi kuyapata mengine nliishia kuuzekea panda ila mpaka kesho ni Bado mapya
 
Kila mtu anajua tatizo, watendaji wetu wakuu wa serikali zetu huku Afrika wapo kwa maslahi yao binafsi. Wote ni watu wenye tamaa ya kujitajirisha au kuwa na unafuu wa maisha kupitia pesa za umma. We fikiria kuna wabunge wangapi nchi hii? Kila mmoja anapewa gari ya maelfu ya dola kila baada ya miaka 5, wanalipana pesa za posho kodi yenyewe yote inayokusanywa ya kujengea mambo muhimu itapatikana wapi? Hizo nchi za wazungu walioendelea hata waziri akitaka gari anunue kwa pesa yake hakuna ujinga. Huu ni umasikini wa kujitakia, msiulizage majibu kama watoto wadogo
 
I appreciate that mkuu, ila so Kila mtu ana afford that,durable building materials siko zote ni Italian made hawa watu tangu karne na Karne wana kasiri kao, geji can be kama unavyosema ila composition ya materials matters the most. Mfano nliuuziwaga mabati transparent matano ya mtaliano since 2003 asee hayo mabati nliyatafuta sana sikuwahi kuyapata mengine nliishia kuuzekea panda ila mpaka kesho ni Bado mapya

Nafikiri serikali itoe mifumo, standards. Mikopo ya ujenzi, mortgage, kujali mipango miji.

Ukiwa unatokea Dubai, Nairobi, kwenda Dar Arusha sehemu kubwa ni kijani, kuna Ngorongoro, oustanding beauty, Ukitaka kutua Dar ni mabati yenye kutu nyumba saba kati ya kumi ni hovyo.

Serikali na sekta binafsi zinaweza kutoa mikopo kujenga nyumba za viwango, kununua mabati, kujenga miundombinu ya nyumba za familia. Pia ikaweka standards.
 
Back
Top Bottom