Wakuu leo nimeona nilete mada mezani. Kwa nini miji yetu mingi ipo disorganised ukifananisha na wenzetu?
Ukiangalia miji ya nchi za mambele utaona imepangiliwa, misafi, wamepanda miti mingi, haipo chaotic ni miji inayovutia
Mfano angalia mji wa Seattle, Marekani
View attachment 3514771
View attachment 3514773View attachment 3514774
Lakini ukiangalia Africa miji yetu utaona hatujapanda miti, hakuna pavements, michanga imeingia barabarani, ni michafu yani kila kitu kipo disorganised.
Angalia mji wa Lagos, Nigeria
View attachment 3514772
View attachment 3514775
Hapa naleta na picha, mfano wa miji ya mambele halafu tuone.
Paris
View attachment 3514779
View attachment 3514780
.
Tokyo
View attachment 3514777
View attachment 3514778
.
Amsterdam
View attachment 3514776
Halafu hapa naonesha jinsi miji mingi ya Africa ilivyo
Hii picha ni Eastleigh, Nairobi
View attachment 3514781
Hapa ni Pipeline, Nairobi
View attachment 3514782
Hapa ni Paje, Zanzibar
View attachment 3514783
Hapa ni Kampala, Uganda
View attachment 3514784
Kuna watu wanasema sababu ni umasikini. Mimi nakataa. Mbona Rwanda ni nchi masikini lakini miji yao ipo organised sana.
Nakuonesha picha za Kigali, Rwanda. Zipo tofauti kabisa na miji mingine ya Africa
Iangalie Kigali
View attachment 3514786View attachment 3514787View attachment 3514788View attachment 3514789View attachment 3514790View attachment 3514791View attachment 3514792
Sababu ni nini? Kwa nini miji mingine ya Africa isiwe kama Kigali? Au kwa nini isiwe kama miji ya mambele?
NB: Najua kuwa hata miji ya Africa kama Nairobi, Kampala na Lagos ina maeneo ambayo yapo well organised na masafi, lakini ni machache mno ukifananisha na maeneo machafu ambayo hayajapangiliwa vizuri