Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 31,980
- 95,490
Teh huna haja ya kusubiri niongee buana. Msimamo wangu kuhusu michepuko haujawahi kubadilika, upo vile vile hata ukamilifu wa dahari.Mkuu hii umecopy sehemu au umeandika mwenyewe?
Ngoja nisubiri maoni ya Heaven Sent kabla sijatoa msimamo wangu.
Najua mama mchungaji Evelyn Salt ataunga mkono hoja.
Sawa ila kama huo ndo msimamo wako ni sawa na wewe ndo umeandika.
Bado namsubiri Heaven Sent hapa, auone msimamo wako kabla hajafanya maamuzi rasmi.