ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 8,514
- 15,527
Kwahiyo mkienda kulipa ile monthly fee, mwanaume anakuwa wapi? maana umesema huoni tofauti.Kwa mtazamo wako. Kwangu naona hakuna tofauti
Kwahiyo mkienda kulipa ile monthly fee, mwanaume anakuwa wapi? maana umesema huoni tofauti.Kwa mtazamo wako. Kwangu naona hakuna tofauti
Mhhh mfano leo mimi na wewe tuanze ligi yetu
Nipewe wanawake 10 na wewe wanaume 10 baada ya miezi mitatu tufanyanyiwe analysis ,kwa vyovyote madhara yatakuwa makubwa kwako kimwili na kihisia kulinganisha na mimi
Ushawahi kuwaangalia dada zetu wanaojiuza ? Hivi unafikiria kwanini wako vile ? Tofauti sana na wanawake wasiojiuza ?
Dhana ya kuwa kila mwanaume anadanganya kwenye mahusiano napingana nayo, wapo wanaume waaminifu sana kwenye ndoa/mahusiano yao.
I agree , just out of curiosity her being emotional has got anything to do with u ?Being emotional blocks every chance of reasoning.
I agree , just out of curiosity her being emotional has got anything to do with u ?
Hivi wakipangwa foleni wanawake wengi tu, afu ukaambiwa uchague anayejiuza na asiyejiuza unaweza? Obviously utaangalia tu aliyechoka choka ndo utamchagua, but anaweza akawa amechoka kisa tu umaskini. Hainaga alama aisee, afu huwezi kushindana na ulipotokea teh, patakushinda tu. Kuna watu wanajiuza na huwezi kutambua, na ukajikuta umeoa kabisa.Mhhh mfano leo mimi na wewe tuanze ligi yetu
Nipewe wanawake 10 na wewe wanaume 10 baada ya miezi mitatu tufanyanyiwe analysis ,kwa vyovyote madhara yatakuwa makubwa kwako kimwili na kihisia kulinganisha na mimi
Ushawahi kuwaangalia dada zetu wanaojiuza ? Hivi unafikiria kwanini wako vile ? Tofauti sana na wanawake wasiojiuza ?
Anakuwa alipo kila sikuKwahiyo mkienda kulipa ile monthly fee, mwanaume anakuwa wapi? maana umesema huoni tofauti.
I ain't.. We are simply differentBeing emotional blocks every chance of reasoning.
Haha Man, you ask "too much". RelaxI agree , just out of curiosity her being emotional has got anything to do with u ?
I ain't.. We are simply different
Don't be. That's what HS believesNah man, just the topic I think. I expected a few mamas to argue from an emotional pov tho, and I see where they coming from. But I'm a bit disappointed it's HS.
Sijui hata kama umenielewa ngoja tufanye hivi naposema madhara yanakuwa makubwa kwako kimwili mfano mrahisi ni huu unaweza kutana na mwenye baraka zake kama punda au tembo na wenye pete zao ,govi nk na viungo vyenu vilivyo ni rahisi kupokea maambukizoHivi wakipangwa foleni wanawake wengi tu, afu ukaambiwa uchague anayejiuza na asiyejiuza unaweza? Obviously utaangalia tu aliyechoka choka ndo utamchagua, but anaweza akawa amechoka tu kisa tu umaskini. Hainaga alama aisee, afu huwezi kushindana na ulipotokea teh, patakushinda tu. Kuna watu wanajiuza na huwezi kutambua, na ukajikuta umeoa kabisa.
Nimekuelewa kuliko watu wote humu....Naanza mchakato as soon as possible...nikiongeza japo 4..poa.ni ujinga na unafiki mwanaume kusex na mwanamke mmoja maisha yake yote.hata Mungu hakusema hivo
anzia adam ,kina mzee Ibrahimu,yakobo,na wengineo wazee wa heshima zao kina Daudi na suleimani hakuna kitu kama hicho cha kuabudu papuchi moja .kizazi hiki ndo mtaweza? acheni unafiki nyie watu
[emoji4][emoji4] ma badHaha Man, you ask "too much". Relax
Sijui hata kama umenielewa ngoja tufanye hivi naposema madhara yanakuwa makubwa kwako kimwili mfano mrahisi ni huu unaweza kutana na mwenye baraka zake kama punda au tembo na wenye pete zao ,govi nk na viungo vyenu vilivyo ni rahisi kupokea maambukizo
Mimi mwanaume nitakacho kutana nacho sio zaidi ya mnato na bwawa na kwangu hayana madhara hayo ,zaidi sana mbegu zikipungua najinywea supu ya pweza ,Karanga mbichi ,maziwa ya mgando ,ugali wa dona ,asali ya nyuki wadogo ,tangawizi nk
Wamechoka kisa umasikini? Hapana aisee % kubwa ya Watanzania ni maskini na hawana hizo sura za dada zetu wanaojiuza
Ulisema niwaangalie wadada wanaojiuza, hopefully ulimaanisha niwaangalie kwa nje? Au ulimaanisha kuwaangalia kwa ndani? Me ntawaangaliaje sasa?Mhhh mfano leo mimi na wewe tuanze ligi yetu
Nipewe wanawake 10 na wewe wanaume 10 baada ya miezi mitatu tufanyanyiwe analysis ,kwa vyovyote madhara yatakuwa makubwa kwako kimwili na kihisia kulinganisha na mimi
Ushawahi kuwaangalia dada zetu wanaojiuza ? Hivi unafikiria kwanini wako vile ? Tofauti sana na wanawake wasiojiuza ?
Bana wee, si tunapitisha watoto huku na panarudi vile vile, itakuwa vinjururu vyenu. Panakuwa tu pa kawaida teh.Sijui hata kama umenielewa ngoja tufanye hivi naposema madhara yanakuwa makubwa kwako kimwili mfano mrahisi ni huu unaweza kutana na mwenye baraka zake kama punda au tembo na wenye pete zao
Mimi mwanaume nitakacho kutana nacho sio zaidi ya mnato na bwawa na kwangu hayana madhara hayo ,zaidi sana mbegu zikipungua najinywea supu ya pweza ,Karanga mbichi ,maziwa ya mgando ,ugali wa dona ,asali ya nyuki wadogo ,tangawizi nk
Wamechoka kisa umasikini? Hapana aisee % kubwa ya Watanzania ni maskini na hawana hizo sura za dada zetu wanaojiuza
Mfumo dume tu tehAll right. While you're at it, ask yourself why they felt the need to stress out about Mary's(Jesus' mama) sex history, but never touched Joseph's.