Kwanini "michepuko" ihalalishwe kwa wanaume?

Sikiliza mjadala wa Andrew Schulz na Vlad kuhusu cheating/sex kwa wanaume na wanawake. Kuanzia dakika ya 4. Heaven Sent

My bad, nipo sehemu ambapo mtandao si mzuri kidogo. Ntaipitia usiku

BTW huyo aliyeongea ni mwanaume, binadamu tu wa kawaida, anachokiona me naweza nisikione. Me issue ya mchepuko nilishaamuaga kutokuielewa, na haitotokea nikaielewa honestly
 
Nikupe tu summary. Kati ya madhara ya kuchepuka kwa mwanamke, unaweza kupata mimba. Japo pia naweza kumpa mwanamke mimba, ila hicho kiumbe hakikai tumboni mwangu kwa miezi 9. Hayo ni baadhi ya madhara ya kihisia na kimaumbile yanayoweza mkuta mwanamke mchepukaji, ila hayamkuti mwanaume.
 
Kwa hiyo madhara ni kiumbe kukaa tumboni mwangu tu basi? Mbona sioni kama hayo ni madhara, coz outcome yake ni mimi kuitwa mama na wewe kuitwa baba.
 
Ulisema niwaangalie wadada wanaojiuza, hopefully ulimaanisha niwaangalie kwa nje? Au ulimaanisha kuwaangalia kwa ndani? Me ntawaangaliaje sasa?

Bana wee, si tunapitisha watoto huku na panarudi vile vile, itakuwa vinjururu vyenu. Panakuwa tu pa kawaida teh.

Hivi na madhara ya magonjwa yanatofautiana pia? Na spiritual effects nazo zinachagua jinsia?
Aisee hili la kupitisha mtoto usitake kabisa kutumia kama ndio defense yako ,mpaka unafikia kubeba Mimba na kuzaa kuna changes kubwa ambazo kama mwanamke unapitia , physicaly,Biologically, emotional nk kwa hiyo mpaka siku mtoto anatoka pale kila kitu kiliandaliwa na kipo kwenye balance
Ni tofauti na mwanamke leo unadandiwa na mandigo ,kesho sijui na nani ,kwanza unaingiliwa tu na emotions hazipo unafikiria madhara yake ni madogo ?

Au unafikiria Mungu alikosea kuweka hisia kwa wanadamu ?
Hujiulizi kwanini ukipigiwa simu na mtu unayempenda akisema tu "Hello babe" tayari chini kushalowa ? Hapo chini pamewekwa kutumika kwa hisia kinyume chake lazima ukongoroke
Kama unataka kujua madhara ya magonjwa yanatofautiana jaribu tu kutawaza kutoka nyuma kuja mbele ,uone jinsi gani hapo papo sensitive
 
Kwa hiyo nikifanya na watu wengi Kwa "hisia" sitokongoroka?
 
Kwa hiyo madhara ni kiumbe kukaa tumboni mwangu tu basi? Mbona sioni kama hayo ni madhara, coz outcome yake ni mimi kuitwa mama na wewe kuitwa baba.

"kati ya". Na kuna madhara ya kihisia kuzaa kiumbe kilichotokana na kuchepuka, mojawapo ni jinsi ya kumbambikia njia kuu na kuishi kwa wasi itakuwaje akigundua. Na madhara ya kimaumbile yanajulikana. Wakati kwa upande wangu nakula bata tu, nasubiria kujihusisha kwenye malezi tu.
 
SIKUWAH KUWA FAN WA MZEE WA UPAKO.... ILA HAPA. KARIBUNI ALIPOSAPOTI WANAUME KUWA NA MKE ZAIDI YA MMOJA... NIMEMKUBALI SANA.

AS PER THE TOPIC..... NDIO UKWELI HUO.
 
Back
Top Bottom