Kwanini "michepuko" ihalalishwe kwa wanaume?

Mkuu hii umecopy sehemu au umeandika mwenyewe?

Ngoja nisubiri maoni ya Heaven Sent kabla sijatoa msimamo wangu.

Najua mama mchungaji Evelyn Salt ataunga mkono hoja.
Teh huna haja ya kusubiri niongee buana. Msimamo wangu kuhusu michepuko haujawahi kubadilika, upo vile vile hata ukamilifu wa dahari.
Sawa ila kama huo ndo msimamo wako ni sawa na wewe ndo umeandika.

Bado namsubiri Heaven Sent hapa, auone msimamo wako kabla hajafanya maamuzi rasmi.
 
Michepuko haihalalishwi ni ujinga tu wa mtu mmoja mmoja mwanaume kwa mwanamke.Badala ya kujenga Tanzania ya viwanda mnawaza michepuko.
 
ni ujinga na unafiki mwanaume kusex na mwanamke mmoja maisha yake yote.hata Mungu hakusema hivo
anzia adam ,kina mzee Ibrahimu,yakobo,na wengineo wazee wa heshima zao kina Daudi na suleimani hakuna kitu kama hicho cha kuabudu papuchi moja .kizazi hiki ndo mtaweza? acheni unafiki nyie watu
Nazidi kukuelewa mama...
 
Michepuko haihalalishwi ni ujinga tu wa mtu mmoja mmoja mwanaume kwa mwanamke.Badala ya kujenga Tanzania ya viwanda mnawaza michepuko.

Haha nyie watu wa hoja za "Tanzania ya viwanda" kila mahali mko special.

Kimsingi, mchango wetu ni kuhamasisha rasilimali watu. Wewe umechangia nini?
 
Bado ninapinga mkuu, kwanza kuna risk ya kuambukizana magonjwa, pili ni quality time ya kuwa na mke wako utaipata saa ngapi? Ninadhani dhana nzima ya kuwa na mke mmoja ilikuwa sehemu ya socialization au ustaarabu na kuhakikisha mali inakuwa controlled katika kundi la familia pia dini. Kwanini kule Cana Yesu asifungishe ndoa ya wake wengi?
Yesu hakufungisha ndoa bali alihudhuria harusi ya kana. Kumbuka harusi ni sherehe baada ya watu kuoana
 
Maumbile na hisia zinafanyaje? Hakuna cha unafuu wa madhara jinsia fulani ikichepuka
Mhhh mfano leo mimi na wewe tuanze ligi yetu
Nipewe wanawake 10 na wewe wanaume 10 baada ya miezi mitatu tufanyanyiwe analysis ,kwa vyovyote madhara yatakuwa makubwa kwako kimwili na kihisia kulinganisha na mimi

Ushawahi kuwaangalia dada zetu wanaojiuza ? Hivi unafikiria kwanini wako vile ? Tofauti sana na wanawake wasiojiuza ?
 
Kwa mujibu wa dini ya kiislam
Ndo maana hiki kitu kimehalalishwa mwanaume kuwa na wanawake wawili mpaka wanne haswa mtoa mada pale aliposema kuwa wanawake kuingia heath kila mwezi na matatizo mengine waliyonayo mimi nafikiri sisi wenye michepuko bora tuhalalishiwe ili tupunguze kijificha
 
Back
Top Bottom