Kwanini "michepuko" ihalalishwe kwa wanaume?

Kwa hiyo una uwezo wa kumpata mwanaume wa ndoto zako, sio?

Na ukisema tutachepuka na nani, nadhani umesahau kuwa mpo wengi kutuzidi. So tutachepuka na wale watakaobaki bila wenza.
Wa ndoto zangu sina uwezo maana labda nimuumbe, kwahiyo ili litimie inabidi wawe kama wanne hivi.

Hao walozidi unaweza kuta ni watoto au wazee, kwahiyo hapo kati tutabanana tu hadi kieleweke.
 
Wa ndoto zangu sina uwezo maana labda nimuumbe, kwahiyo ili litimie inabidi wawe kama wanne hivi.

Hao walozidi unaweza kuta ni watoto au wazee, kwahiyo hapo kati tutabanana tu hadi kieleweke.

Huh! Kwa hiyo unataka kusema hakuna wanaume walio na hela, muonekano na strong D-game wrapped in one?
 
Na wenyeviti wa serikali za mitaa wakae mkao wa kula maana kwa jinsi watu watakavyokuwa wanakimbizana
 
Back
Top Bottom