Kwanini "michepuko" ihalalishwe kwa wanaume?

Kwanini "michepuko" ihalalishwe kwa wanaume?

Ni ngumu sanaaaaa mwanaume mmoja kumridhisha mwanamke wake ktk nyanja zote muhimu kuanzia kitandani(hapa tatizo ni kubwa zaidi,waulize wanawake waloolewa), kipesa(hapa ndio uwiiiiii), kimuonekano nk nk nk

So turuhusiwe tu kuchepuka, japo tunachepuka kinyemela,ila mkemia mkuu hana adabu kabisa kuingilia yasiyomuhusu.

Nani kasema? Kama watu wana uwezo wa kuwa na michepuko, ni wazi kuwa wana uwezo wa kumudu mahitaji yote.

Pia kuhusu hela na muonekano, hizo ni tamaa tu ambazo mnaziendekeza. Wapo wenye full package, ila ni limited kwa wanaostahili tu. You only get what you're worth.

Toa sababu za kuwafanya mchepuke, na ziko nje ya uwezo wenu.
 
Kama umenisoma vizuri utakuwa ueelewa kuwa sio rahisi, narudia tena, sio rahisi kutoshelezwa kila kitu na mwanaume mmoja.

Kuwa na michepuko sio lazima ikufanye kuwa unamudu mahitaji yote, hell NO.
Unaweza ukawa unamudu ya kipesa ila vingine haumudu. Au unaweza ukawa unamudu vingine ila kipesa haumudu.

Kwahiyo ili tutoshelezwe kote inabidi michepuko ihusike.

Hii ipo nje ya uwezo wetu maana hatuwezi kujiumbia wa kututosheleza nyanja zote.
 
Kiuhalisia mwanaume kuchepuka sio basic need bali ni necesary need .. Lkn ili kulinda dhana ya mchepuko wife hatakiw sio tu kujua bali hata kuhis kama kuna kitu kama hicho kinaendelea na inanoga zaid pale unaechepuka nae nayy pia anakuconsider ww kama mchepuko wake yaan awe mke wa mtu hapo mtakua salama saaaana coz kila mtu anaenda kwa tahadhari akizngatia kutokuharibu ndoa yake....
Always kuchepuka kunaleta game flan hv amazing coz kila mtu anajitahid kumfunika huyo anaemuibia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Do haya mambo ya siri haya, ninakumbuka kuna baba alikuwa na familia yake, mama yake alikuwa mgonjwa basi alimuomba radhi mkewe kuwa ana watoto wa nje na angependa waje wamuone bibi yao, iwapo kifo kitamfika angalau wawe wametia machoni. Mama wa watu alikubali, watoto wameletwa ni 9, mke alibaki mdomo wazi, mume wangu katika miaka yote ya ndoa, muda wa kuzaa watoto 9 wengine uliupata wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee....
 
Michepuko haihalalishwi ni ujinga tu wa mtu mmoja mmoja mwanaume kwa mwanamke.Badala ya kujenga Tanzania ya viwanda mnawaza michepuko.
We unamke mmoja ushaanzisha viwanda vingapi????
Viwanda vitaletwa na walio ahidi
 
Niko kwenye ndoa changa six mouth siungi mkono hoja for that time tbt
 
Waislamu wameliona hili mapema mno, kuna sheria ya kuoa mpaka wake wa4 ukiwa ni muadilifu na 'uwezo' unao.
 
Kama umenisoma vizuri utakuwa ueelewa kuwa sio rahisi, narudia tena, sio rahisi kutoshelezwa kila kitu na mwanaume mmoja.

Kuwa na michepuko sio lazima ikufanye kuwa unamudu mahitaji yote, hell NO.
Unaweza ukawa unamudu ya kipesa ila vingine haumudu. Au unaweza ukawa unamudu vingine ila kipesa haumudu.

Kwahiyo ili tutoshelezwe kote inabidi michepuko ihusike.

Hii ipo nje ya uwezo wetu maana hatuwezi kujiumbia wa kututosheleza nyanja zote.

Mmeumbwa na tamaa?
 
Yesu mwenyewe mpaka anadie alikuwa single boy, haya mambo ya mademu alikuwa hayafagilii kabisa.
Duhh
Umenifanya nicheke kwa sauti saana.
Mkuu enz hizo hakukua na demu...
 
Back
Top Bottom