Kwanini "michepuko" ihalalishwe kwa wanaume?

Kwanini "michepuko" ihalalishwe kwa wanaume?

Hata hivyo biblia inasema mke mmoja kwa mume mmoja mtoa post. Lakini mwanaume ana uwezo wa kumudu kutoa huduma ktk mda wowote ktk mwezi pia kimaumbile mwanamke huchakaa mapema kuliko mwanaume yaan wakati mwingine unamkuta jimama hiiilooo kumbe ni mdogo wako wa mwisho kwakua wanawake ni weengi wanaume oeni (chonde chnde msizini) hadi wanne kama ni mslam kwan mwanamke kama hana wa kumtuliza huwa hatari mbele ya gori zaidi hata ya messi lkn mwanaume huwa hooooi akishaoneshwa vituko anaweza hasirudi kwake siku hiyo
 
Back
Top Bottom