Kwanini "michepuko" ihalalishwe kwa wanaume?

Kwanini "michepuko" ihalalishwe kwa wanaume?

Nimeunga mkono hoja, na nyongeza Juu kuwa na wanawake tuhalalishiwe

kobe.jpg
 
"kati ya". Na kuna madhara ya kihisia kuzaa kiumbe kilichotokana na kuchepuka, mojawapo ni jinsi ya kumbambikia njia kuu na kuishi kwa wasi itakuwaje akigundua. Na madhara ya kimaumbile yanajulikana. Wakati kwa upande wangu nakula bata tu, nasubiria kujihusisha kwenye malezi tu.
Aaah kumbe ni "kati ya". Mbona tunawabambika tu bila huruma shahidi yetu mkemia teh
 
Hahaha duh.... Sasa itakuwaje kwa wale wenye michepuko zaidi ya mmoja, si ndio patakuwa hapatoshi huko mitaani.
 
Kiuhalisia mwanaume kuchepuka sio basic need bali ni necesary need .. Lkn ili kulinda dhana ya mchepuko wife hatakiw sio tu kujua bali hata kuhis kama kuna kitu kama hicho kinaendelea na inanoga zaid pale unaechepuka nae nayy pia anakuconsider ww kama mchepuko wake yaan awe mke wa mtu hapo mtakua salama saaaana coz kila mtu anaenda kwa tahadhari akizngatia kutokuharibu ndoa yake....
Always kuchepuka kunaleta game flan hv amazing coz kila mtu anajitahid kumfunika huyo anaemuibia
Mkuu nimefurahishwa sana na kipengele chako cha mwisho, naunga mkono hoja.
 
Hapa mimi mwenyewe nina mmama wangu mtu mzima tena ana wajukuu nyumba ya pili hapo nachepuka nae kiroho safi na mmewe yupo.ikihalalishwa mimi nahamia huko mazima na kwangu ahamie yeyote tu nitakua naenda kusalimia tu...mchepuko mtamu jamani
Hahahahahaha................wewe jamaa chizi sana.
 
Hapa mimi mwenyewe nina mmama wangu mtu mzima tena ana wajukuu nyumba ya pili hapo nachepuka nae kiroho safi na mmewe yupo.ikihalalishwa mimi nahamia huko mazima na kwangu ahamie yeyote tu nitakua naenda kusalimia tu...mchepuko mtamu jamani
Hahahhaahha mkuu nimecheka hadi chozi jamani, khaaa nyie watu nimewashindwa.
 
I know what I am talking about, kuna familia jirani nilipokuwa mdogo, baba alikuwa mfanyabiashara maarufu tu, alikuwa na wake wane, mmoja alimnunulia nyumba jirani na kwetu. Mizunguko ya yule baba ilikuwa ni siku nne kila nyumba, piga mahesabu 4x4 ndiyo unamuona tena mume. Wengine walianza kuchepuka, haijulikani aliyeleta HIV ni nani lakini ilikuwa ile miaka ya 90, waliondoka wote.
Khaaa, hiyo ratiba ht mm siiwezi. Sasa hapo kuna tofauti gani na mtu ambae hajaolewa.
 
ni ujinga na unafiki mwanaume kusex na mwanamke mmoja maisha yake yote.hata Mungu hakusema hivo
anzia adam ,kina mzee Ibrahimu,yakobo,na wengineo wazee wa heshima zao kina Daudi na suleimani hakuna kitu kama hicho cha kuabudu papuchi moja .kizazi hiki ndo mtaweza? acheni unafiki nyie watu

Ha ha ha ha...... Hii kali, ila inakaukweli fulani hivi.

Sasa wewe mbona muoga wa kutoa papuchi?
 
Kweli wanaume akili zenu mnazijua wenyewe, paulo mada zako huwa ni za viinglish, ila hii ya kuruhusiwa kuchepuka ulivyoidadavua kwa kiswahili hadi nikakusahau.

Kwahiyo hapo suala mruhusiwe kuchepuka au kuoa???
 
Bado ninapinga mkuu, kwanza kuna risk ya kuambukizana magonjwa, pili ni quality time ya kuwa na mke wako utaipata saa ngapi? Ninadhani dhana nzima ya kuwa na mke mmoja ilikuwa sehemu ya socialization au ustaarabu na kuhakikisha mali inakuwa controlled katika kundi la familia pia dini. Kwanini kule Cana Yesu asifungishe ndoa ya wake wengi?

Yesu mwenyewe mpaka anadie alikuwa single boy, haya mambo ya mademu alikuwa hayafagilii kabisa.
 
Halafu wanaume tuna tabia moja ya ki-primitive sana, mwanaume anaweza kugegedana na mwanamke wake hadi akawa exhausted kiasi cha kumtabiria kifo, lakini ikitokea mbunye nyingine mpya sijui hata nguvu zinatoka wapi, utadhani ni mwaka umepita bila kugegeda.

Hapo nimecheka sana, sijui maneno watu huwa mnayatoa wapi
 
Back
Top Bottom