Kwanini "michepuko" ihalalishwe kwa wanaume?

Kwanini "michepuko" ihalalishwe kwa wanaume?

Hapa mimi mwenyewe nina mmama wangu mtu mzima tena ana wajukuu nyumba ya pili hapo nachepuka nae kiroho safi na mmewe yupo.ikihalalishwa mimi nahamia huko mazima na kwangu ahamie yeyote tu nitakua naenda kusalimia tu...mchepuko mtamu jamani

Hii thread inanifanya nicheke sana, una roho ngumu kweli kweli
 
Badala ya kujenga Tanzania ya viwanda mnawaza michepuko.

Tanzania ya viwanda utaingoja Karne mia 8, labda viwanda vya kufyatua watoto kama alivyoshauri mkuu
 
Kwa hiyo madhara ni kiumbe kukaa tumboni mwangu tu basi? Mbona sioni kama hayo ni madhara, coz outcome yake ni mimi kuitwa mama na wewe kuitwa baba.[emoji470] [emoji470] [emoji470]

Vipi na saratani ya shingo ya kizazi, ambazo predisposing/risk factors ni early sex and multiple partners?

Nayo kwako unaona siyo madhara kwa mwanamke?
 
Inawezekana ni ubinafsi, pengine upumbavu, ila nipe nafasi ya kuelezea.

Ki-DHANA
Hakuna mwanaume mwaminifu kwa mpenzi mmoja(All men cheat): Hii dhana imeletwa na kusisitizwa na wanawake wenyewe, na hakuna jinsi unaweza kuwafanya wakubali kuwa ni potofu. Kwao, wanaume tumezaliwa na vinasaba vya kutoridhika na mwanamke mmoja, pengine ni kweli. Sasa basi, kama tayari hatuaminiki, kuna haja gani ya kujaribu? Na kama ndivyo tulivyoumbwa, kwa nini tuhukumiwe?

KIMAHESABU.
Kitakwimu, duniani wanawake ni wengi zaidi ya wanaume. Na kuna msemo ambao pia umeanzishwa na hutumiwa na wanawake kuwa "wanaume wazuri wameshachukuliwa(all good men are taken)". Wewe mama ambaye una bahati ya kuwa kwenye ndoa/uhusiano na mwanaume wako, hebu jaribu kuwa katika viatu vya yule ambaye amekosa kwa sababu tu jamaa alikuona wewe kabla yake. Kwa nini msiache ubinafsi na kuchangia hicho hicho kidogo kilichopo?

Hapo hapo katika hesabu; kwa wale wanaoamini katika biblia (sina uhakika kuhusu vitabu vingine), imeandikwa kuwa mwanamke ametoka katika ubavu wa mwanaume ("Then the LORD God made a woman from the rib he had taken out of the man, and he brought her to the man."). Sasa piga hesabu mwanaume ana mbavu ngapi, na hiyo ndiyo idadi ya wanawake ambao anaweza/alistahili kuwamudu.


Ki-BAOLOJIA.
Kuna sababu kadhaa za kibaolojia zinazoashiria wanaume hawakutakiwa kuwa na mpenzi mmoja pekee. Moja ni suala la hedhi. Kila mwezi wanawake waliokwisha vunja ungo, huingia katika siku zao ambazo si salama wala haishauriwi kushiriki ngono. Ukizingatia kuwa wanaume mahitaji yetu ya kingono ni zaidi ya ya wenzetu(hatukujiumba hivyo), ni haki kuwa na back-up ili ikitokea tumezidiwa na ni moja kati ya siku za hatari za mmoja wa wapenzi wetu, tuweze kuhudumiwa.

Vivyo hivyo katika suala/kipindi cha uzazi.

Pia wanawake hupoteza hamu na uwezo wa kushiriki tendo kadiri umri unavyosogea, tofauti na wanaume.


Lkn usisahau kwamba Wanawake wanachepuka klk Wanaume sema ni ngumu tu kuwashika!
 
Nimemtumia mke wangu ujumbe huu
Aiseee huwez amin nimefukuzwa nyumban
 
Dume zima unakuwa na mwanamke mmoja una akili wewe? Mpumbav ulaaniwe kwa ujinga wake
 
Basically, you're the selfish one. We gave our reasons, fight them the same way.

Ni ngumu sanaaaaa mwanaume mmoja kumridhisha mwanamke wake ktk nyanja zote muhimu kuanzia kitandani(hapa tatizo ni kubwa zaidi,waulize wanawake waloolewa), kipesa(hapa ndio uwiiiiii), kimuonekano nk nk nk

So turuhusiwe tu kuchepuka, japo tunachepuka kinyemela,ila mkemia mkuu hana adabu kabisa kuingilia yasiyomuhusu.
 
Dah...hii ni asili ya binadamu....mwanaume hutafuta mwanamke....[emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom