Gachuma jr
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 839
- 453
Aisee kumbe
KeshasahauUlisema hapa JF kuwa watu hawatajitokeza kabisa kumpokea Lissu.
Mbowe sio sehemu ya hao watu uliokuwa unawazungumzia??
Mtaongea sana mwaka huu hadi maji mtaita mmaLeo kulikuwa na Mapokezi ya Lissu, viongozi wengi wa CHADEMA nimewaona wakimpokea Lissu. Ila Mbowe hajaonekana kabisa. Hapo tatizo lipo wala tusifiche.
Huu mgawanyiko kwa upande mwingine sio mzuri kwa chama. Tunaweza kusema ni kawaida lakini lazima tujiulize kwanini hakwenda?
Kuna Jambo ningeweza kuwaeleza wanachadema ili wajue chama Chao kinapoelekea kutokana na huu mgawanyiko, Ila wacha niwaache MUDA utasema na nitakuja kuwakumbusha hapa.
Ofisi ganiOfisini atakaa nani?
Hapo roho imekuuma kuona mji umezizima, Katibu Mkuu amekwenda kuwakilisha uongozi, mengine yaruhusu yakupite kijanaLeo kulikuwa na Mapokezi ya Lissu, viongozi wengi wa CHADEMA nimewaona wakimpokea Lissu. Ila Mbowe hajaonekana kabisa. Hapo tatizo lipo wala tusifiche.
Huu mgawanyiko kwa upande mwingine sio mzuri kwa chama. Tunaweza kusema ni kawaida lakini lazima tujiulize kwanini hakwenda?
Kuna Jambo ningeweza kuwaeleza wanachadema ili wajue chama Chao kinapoelekea kutokana na huu mgawanyiko, Ila wacha niwaache MUDA utasema na nitakuja kuwakumbusha hapa.
Unge omba uwekwe kwenye kamati ya maandalizi ili utoe huo ushuzi wako ndani ya kamati. Tangu lini Mama Samia akaenda uwanjani kumpokea Dr. Mpango?Leo kulikuwa na Mapokezi ya Lissu, viongozi wengi wa CHADEMA nimewaona wakimpokea Lissu. Ila Mbowe hajaonekana kabisa. Hapo tatizo lipo wala tusifiche.
Huu mgawanyiko kwa upande mwingine sio mzuri kwa chama. Tunaweza kusema ni kawaida lakini lazima tujiulize kwanini hakwenda?
Kuna Jambo ningeweza kuwaeleza wanachadema ili wajue chama Chao kinapoelekea kutokana na huu mgawanyiko, Ila wacha niwaache MUDA utasema na nitakuja kuwakumbusha hapa.
Sijaelewa hata umeuliza nini. Pata kwenza mlo kamili kisha kunywa majiUlisema hapa JF kuwa watu hawatajitokeza kabisa kumpokea Lissu.
Mbowe sio sehemu ya hao watu uliokuwa unawazungumzia??
Kwa hiyo mbowe ni mama?Unge omba uwekwe kwenye kamati ya maandalizi ili utoe huo ushuzi wako ndani ya kamati. Tangu lini Mama Samia akaenda uwanjani kumpokea Dr. Mpango?
Alivyokuja 2020 mbona alienda kumpokeaDah! Mimi ni CCM Damu lakini naona kiitifaki sio sawa Mbowe kumpokea Lissu. Ila Lissu kumpokea Mbowe ni sahihi na lazima. Hata mwenyekiti wa CCM hawezi kwenda kumpokea Makamu Mwenyekiti. Kulamba asali haihusiani na hili tukio la kupokeana.
UMEENDA WEWE INATOSHA VIPI MKEKA wa MADC MAMA KAUTANDIKA MBONA HUJAONEKANA NA UCHAWA WAKO?Leo kulikuwa na Mapokezi ya Lissu, viongozi wengi wa CHADEMA nimewaona wakimpokea Lissu. Ila Mbowe hajaonekana kabisa. Hapo tatizo lipo wala tusifiche.
Huu mgawanyiko kwa upande mwingine sio mzuri kwa chama. Tunaweza kusema ni kawaida lakini lazima tujiulize kwanini hakwenda?
Kuna Jambo ningeweza kuwaeleza wanachadema ili wajue chama Chao kinapoelekea kutokana na huu mgawanyiko, Ila wacha niwaache MUDA utasema na nitakuja kuwakumbusha hapa.
Acha Ramli chonganishi,hata Chawa hawana hizo.Leo kulikuwa na Mapokezi ya Lissu, viongozi wengi wa CHADEMA nimewaona wakimpokea Lissu. Ila Mbowe hajaonekana kabisa. Hapo tatizo lipo wala tusifiche.