Kwanini Mbowe anahaha kuizuia kesi ya Mdee & 18?

Na akina Mbowe na timu yake ya "Maridhiano" kama kweli wameweka jambo hilo kwenye orodha yao ya majadiliano, wataambiwa "kesi iko mahakamani", jambo hilo haliwezi kujadiliwa!

Nionavyo mimi, hili la akina Halima lisiwasumbue tena CHADEMA, kwa sababu wao wamekwishamaliza kazi yao juu ya jambo hilo.

Kilichobaki, labda iwe ni kuwakumbushia tu wananchi, kama mfano mmojawapo kati ya mambo mengine asiyoweza kuaminiwa juu yake Samia na timu yake wakati wa mazungumzo ya "maridhiano" yakiendelea.
Limo Kwenye orodha ya hoja zilizoongelewa Ikulu ya Chamwino.
Na imewekwa humu JF.
 
Je?
Ni kwa sababu Chadema watalazimika kuthibitisha Uharamu wa Nyaraka zilizopelekwa NEC na Bungeni?

Je?
Ni kwa sababu kuna ukweli kwamba kulikuwa na baraka za uongozi wa ngazi za juu nyuma ya kupelekwa majina hayo na uteuzi wake?

Je?
Ni kuinusuru Chadema isiumbuliwe na kina Mdee kwa sababu ya kuyajua mengi ambayo wasingependa yaanikwe hadharani?

Au!
Mbowe anaogopa Uhuni wa Mdee?

Kama wamekwisha fukuzwa uanachama kupitia kikao cha kamati kuu ya Halmashauri ya Chadema.

Kama kiongozi mwandamizi na msemaji wa Chadema Ndugu Mrema alitamkia Dunia kupitia mahojiano na Mtangazaji wa DW-KISWAHILI na kusema...
"Chadema wamemaliza kazi yao"

Inakuwaje Chadema na uongozi wao woote mmehamishia nguvu kwenye kuzuia kesi yao kusikilizwa mahakamani?

Kwa nini Chadema msiandae ushahidi na kusubiri kesi ianze kuunguruma kama inavyopaswa.
Badala ya kuhangaika kuweka pingamizi ili kesi hiyo isiendelee.

Mpaka MBOWE anaamua kuunda ujumbe mzito ili kumshawishi Mh Raisi wa JMT aingilie mhimili wa Bunge na Mahakama kinyume na sheria?

Je?
Bado Chadema mnaona mnafaa kuitwa chama cha demokrasia?

Wale wafuasi wenye Matusi badala ya hoja....

Jitahidini mje na Majibu badala ya Matusi.

Vinginevyo mtakuwa mnaendeleza Uhuni,maana mwenyekiti amewakataza Matusi.
Mmenisikia...

Ahsanteni....
Ngoma inogile[emoji12]
 
Punguza Bange au acha kabisa....una Ugonjwa wa Akili.....

Utachanganyikiwa na kuwa chizi mambo haya makubwa kwako....
Wewe unayeshindwa kutafakari hoja na uzito wake,ndio unatakiwa uache bangi mara moja.

Kwa sababu inafifisha uwezo wako wa kufikiri.
 
sijaelewa unataka nini kijana
Ni kupitia kesi hiyo ya Mdee & Company.
Umma ungepata nafasi kubwa ya kuelewa ukweli na Uadilifu wa viongozi wetu wa kisiasa nchini.
 
Je?
Ni kwa sababu Chadema watalazimika kuthibitisha Uharamu wa Nyaraka zilizopelekwa NEC na Bungeni?

Je?
Ni kwa sababu kuna ukweli kwamba kulikuwa na baraka za uongozi wa ngazi za juu nyuma ya kupelekwa majina hayo na uteuzi wake?

Je?
Ni kuinusuru Chadema isiumbuliwe na kina Mdee kwa sababu ya kuyajua mengi ambayo wasingependa yaanikwe hadharani?

Au!
Mbowe anaogopa Uhuni wa Mdee?

Kama wamekwisha fukuzwa uanachama kupitia kikao cha kamati kuu ya Halmashauri ya Chadema.

Kama kiongozi mwandamizi na msemaji wa Chadema Ndugu Mrema alitamkia Dunia kupitia mahojiano na Mtangazaji wa DW-KISWAHILI na kusema...
"Chadema wamemaliza kazi yao"

Inakuwaje Chadema na uongozi wao woote mmehamishia nguvu kwenye kuzuia kesi yao kusikilizwa mahakamani?

Kwa nini Chadema msiandae ushahidi na kusubiri kesi ianze kuunguruma kama inavyopaswa.
Badala ya kuhangaika kuweka pingamizi ili kesi hiyo isiendelee.

Mpaka MBOWE anaamua kuunda ujumbe mzito ili kumshawishi Mh Raisi wa JMT aingilie mhimili wa Bunge na Mahakama kinyume na sheria?

Je?
Bado Chadema mnaona mnafaa kuitwa chama cha demokrasia?

Wale wafuasi wenye Matusi badala ya hoja....

Jitahidini mje na Majibu badala ya Matusi.

Vinginevyo mtakuwa mnaendeleza Uhuni,maana mwenyekiti amewakataza Matusi.
Mmenisikia...

Ahsanteni....
Ndugu, act kama mtu makini bac, hapo Amna case, ni sarakasi tu kama Ile ya UGAIDI wa Mbowe.
 
Achaga Ujinga na wewe hujui wanacho pinga Chadema sio kufungua kesi wanapinga taratibu za kufungua kesi hazipo sawa kukudhi taratibu za kisheria na ndio wanasema kwambaa mahakama isisikilize hiyo kesi kwa kuweka sababu za kisheria.

Hata ktk kesi ya michongo ya Ugaidi hewa dhidi ya Mbowe Chadema iliweka pingamizi pia kuiomba Mahakama isisikilize kesi hiyo na Mahakama ikakiri kuwa mapingamizi ya Chadema ni ya kweli ila kwa kuwa walikuwa wanapokea maagizo toka juu wakashindwa kuifuta kesi Ile ya kijinga.

Lituye
Mimi sio mjinga kama wewe unavyonichukulia.......

Ila kwa sababu mmezowea Uhuni siwezi kukushangaa.......

Naomba unijibu ifuatavyo.......

Watu ambao mmeachana nao na hamna habari nao.

Na mmewafuta uanachama wao kwenye chama cheu.

Kwa nini Chadema mliweka mawakili ili kuwawafuatilia na kuwavizia Mchana kutwa kwenye viunga vya Mahakama?

Badala yake Chadema ingeandaa ushahidi mzito wa kwenda kuiumbua Tume ya Taifa ya Uchaguzi na pia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kwa sababu Chadema imekuwa ikizituhumu taasisi hizo nyeti.
Kwamba zilishirikiana na kina Mdee kughushi Nyaraka za Chadema.

Na hiyo ni Jinai ambayo kwa kuthibitishwa kwake mahakamani...ingeuthibitishia Ulimwengu kuhusu ukweli wa kauli za viongozi wa Chadema.

Je?
Kwa nini Chadema mnaweweseka na kesi hii kufunguliwa kuliko hata huo uanachama wao?

Kwa nini hamtaki kuiumbua serikali ya CCM kupitia Mahakamani?

Kwa nini MBOWE alitumia muda na Pesa nyingi kumuita Mdee kule nairobi?

Kuna siri gani kati ya mdee na MBOWE?

Ambayo inampa hofu namna hiyooo?
 
Na ndio maana tunataka muache kesi iungurume ili tuzijuwe Mbivu na Mbichi.

Ushahidi ni jopo la mawakili wa chadema kwenda mahakamani kuweka zuio la kesi kusikilizwa.
Wewe hutakuwa mzima.

Hivi unajua hata kanuni za msingi za kesi? Kama kesi imfunguliwa kimakosa,au waliofungua hawana haki kisheria au washtakiwa siyo watu sahihi, ni lazima kuwepo na mapingamizi. Kuyanyamazia mapungufu, ni kushiriki uovu.

Mawakili, wanaitwa mawakili wa mahakama kuu, jukumu lao la kwanza ni kuisaidia mahakama itende haki. Wana wajibu wa kuisaidia mahakama kuhakikisha taratibu, kanuni na sheria zote zimefuatwa.
 
Je?
Ni kwa sababu Chadema watalazimika kuthibitisha Uharamu wa Nyaraka zilizopelekwa NEC na Bungeni?

Je?
Ni kwa sababu kuna ukweli kwamba kulikuwa na baraka za uongozi wa ngazi za juu nyuma ya kupelekwa majina hayo na uteuzi wake?

Je?
Ni kuinusuru Chadema isiumbuliwe na kina Mdee kwa sababu ya kuyajua mengi ambayo wasingependa yaanikwe hadharani?

Au!
Mbowe anaogopa Uhuni wa Mdee?

Kama wamekwisha fukuzwa uanachama kupitia kikao cha kamati kuu ya Halmashauri ya Chadema.

Kama kiongozi mwandamizi na msemaji wa Chadema Ndugu Mrema alitamkia Dunia kupitia mahojiano na Mtangazaji wa DW-KISWAHILI na kusema...
"Chadema wamemaliza kazi yao"

Inakuwaje Chadema na uongozi wao woote mmehamishia nguvu kwenye kuzuia kesi yao kusikilizwa mahakamani?

Kwa nini Chadema msiandae ushahidi na kusubiri kesi ianze kuunguruma kama inavyopaswa.
Badala ya kuhangaika kuweka pingamizi ili kesi hiyo isiendelee.

Mpaka MBOWE anaamua kuunda ujumbe mzito ili kumshawishi Mh Raisi wa JMT aingilie mhimili wa Bunge na Mahakama kinyume na sheria?

Je?
Bado Chadema mnaona mnafaa kuitwa chama cha demokrasia?

Wale wafuasi wenye Matusi badala ya hoja....

Jitahidini mje na Majibu badala ya Matusi.

Vinginevyo mtakuwa mnaendeleza Uhuni,maana mwenyekiti amewakataza Matusi.
Mmenisikia...

Ahsanteni....
Kwa jinsi maccm yanavyomuona Mbowe kama malaika mtoa roho, hayo unayofikiria yangekuwa na ukweli ccm ingesha mmaliza zamanj sana Mbowe
 
IMG-20220521-WA0021.jpg
 
Na ndio maana tunataka muache kesi iungurume ili tuzijuwe Mbivu na Mbichi.

Ushahidi ni jopo la mawakili wa chadema kwenda mahakamani kuweka zuio la kesi kusikilizwa.
Kutusumbua kote kumbe tatizo lako haujui mienendo ya kesi huwaje.Kaa ujifunze kwanza.
 
Kaongea ushuzi. Sijaona sehemu anathibitisha FAM anazuia kesi mbali na hisia tu za mleta mada.
Wale wanasheria wa chadema kule mahakamani kwa nini wanaweka pingamizi kesi ile kufunguliwa?

Umejaza ushuzi wa kinyumbu kichwani kama kawaida yenu.
 
Wewe hutakuwa mzima.

Hivi unajua hata kanuni za msingi za kesi? Kama kesi imfunguliwa kimakosa,au waliofungua hawana haki kisheria au washtakiwa siyo watu sahihi, ni lazima kuwepo na mapingamizi. Kuyanyamazia mapungufu, ni kushiriki uovu.

Mawakili, wanaitwa mawakili wa mahakama kuu, jukumu lao la kwanza ni kuisaidia mahakama itende haki. Wana wajibu wa kuisaidia mahakama kuhakikisha taratibu, kanuni na sheria zote zimefuatwa.
Chadema Tulieni maana Halima ana jambo lake #kataa wahuni.
 
Kwa jinsi maccm yanavyomuona Mbowe kama malaika mtoa roho, hayo unayofikiria yangekuwa na ukweli ccm ingesha mmaliza zamanj sana Mbowe
Na kwa jinsi chadema inavyopenda matukio....

Kama ingekuwa kuna nyaraka za kughushi wala chadema isingeogopa kwenda mahakamani.

Acheni tuujuwe ukweli nyuma ya Pazia.
 
Back
Top Bottom