Mbowe anajua Mdee ni akili kubwa kama Zitto. Anajua Mdee anamjua mpaka ndani ya boxer yake.
Mbowe ndie alipeleka majina na mjina NEC na mawasiliano ya simu yapo. Hapo lazma boxer igongwe na haja kubwa.
..kama Mbowe na Halima wamefanya hayo unayodai basi wote watakuwa wamevunja sheria na wanapaswa kushtakiwa.
..maamuzi yanayopaswa kuheshimiwa ni yale vya vikao vya Chadema na sio huo uhuni mnaodai kuwa umefanyika.