Kwanini Mbowe anahaha kuizuia kesi ya Mdee & 18?

Huko mimi sipo!
mimi niko huku Mahakamani mkuu?

Kwa nini Chadema haitaki kesi isikilizwe ili ukweli uthibitike.

Kuna nini wanakiogopa hapo Mahakamani?
Wanaogopa kupoteza muda wao kijinga. Hata waloenda mahakamani wanajua wanapoteza muda.
 
Huko mimi sipo!
mimi niko huku Mahakamani mkuu?

Kwa nini Chadema haitaki kesi isikilizwe ili ukweli uthibitike.

Kuna nini wanakiogopa hapo Mahakamani?
Mbona ushajibiwa?
Jibu hili hapa..
👇👇
..kwasababu upo uwezekano mkubwa mahakama ikafanya makusudi kuchelewesha maamuzi mpaka baada ya uchaguzi wa 2025.

..ili haki itendeke mahakama inapaswa kusikiliza kesi hii kwa mfululizo bila ucheleweshaji kama ilivyofanyika ktk kesi ya kuchonga dhidi ya Mbowe.
 
Je?
Ni kwa sababu Chadema watalazimika kuthibitisha Uharamu wa Nyaraka zilizopelekwa NEC na Bungeni?

Je?
Ni kwa sababu kuna ukweli kwamba kulikuwa na baraka za uongozi wa ngazi za juu nyuma ya kupelekwa majina hayo na uteuzi wake?

Je?
Ni kuinusuru Chadema isiumbuliwe na kina Mdee kwa sababu ya kuyajua mengi ambayo wasingependa yaanikwe hadharani?

Au!
Mbowe anaogopa Uhuni wa Mdee?

Kama wamekwisha fukuzwa uanachama kupitia kikao cha kamati kuu ya Halmashauri ya Chadema.

Kama kiongozi mwandamizi na msemaji wa Chadema Ndugu Mrema alitamkia Dunia kupitia mahojiano na Mtangazaji wa DW-KISWAHILI na kusema...
"Chadema wamemaliza kazi yao"

Inakuwaje Chadema na uongozi wao woote mmehamishia nguvu kwenye kuzuia kesi yao kusikilizwa mahakamani?

Kwa nini Chadema msiandae ushahidi na kusubiri kesi ianze kuunguruma kama inavyopaswa.
Badala ya kuhangaika kuweka pingamizi ili kesi hiyo isiendelee.

Mpaka MBOWE anaamua kuunda ujumbe mzito ili kumshawishi Mh Raisi wa JMT aingilie mhimili wa Bunge na Mahakama kinyume na sheria?

Je?
Bado Chadema mnaona mnafaa kuitwa chama cha demokrasia?

Wale wafuasi wenye Matusi badala ya hoja....

Jitahidini mje na Majibu badala ya Matusi.

Vinginevyo mtakuwa mnaendeleza Uhuni,maana mwenyekiti amewakataza Matusi.
Mmenisikia...

Ahsanteni....
Punguani wewe, chadema wanasema wamefurahi kesi kwenda mahakamani.
Ni wapi mbowe amezuia?

Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
 
Je?
Ni kwa sababu Chadema watalazimika kuthibitisha Uharamu wa Nyaraka zilizopelekwa NEC na Bungeni?

Je?
Ni kwa sababu kuna ukweli kwamba kulikuwa na baraka za uongozi wa ngazi za juu nyuma ya kupelekwa majina hayo na uteuzi wake?

Je?
Ni kuinusuru Chadema isiumbuliwe na kina Mdee kwa sababu ya kuyajua mengi ambayo wasingependa yaanikwe hadharani?

Au!
Mbowe anaogopa Uhuni wa Mdee?

Kama wamekwisha fukuzwa uanachama kupitia kikao cha kamati kuu ya Halmashauri ya Chadema.

Kama kiongozi mwandamizi na msemaji wa Chadema Ndugu Mrema alitamkia Dunia kupitia mahojiano na Mtangazaji wa DW-KISWAHILI na kusema...
"Chadema wamemaliza kazi yao"

Inakuwaje Chadema na uongozi wao woote mmehamishia nguvu kwenye kuzuia kesi yao kusikilizwa mahakamani?

Kwa nini Chadema msiandae ushahidi na kusubiri kesi ianze kuunguruma kama inavyopaswa.
Badala ya kuhangaika kuweka pingamizi ili kesi hiyo isiendelee.

Mpaka MBOWE anaamua kuunda ujumbe mzito ili kumshawishi Mh Raisi wa JMT aingilie mhimili wa Bunge na Mahakama kinyume na sheria?

Je?
Bado Chadema mnaona mnafaa kuitwa chama cha demokrasia?

Wale wafuasi wenye Matusi badala ya hoja....

Jitahidini mje na Majibu badala ya Matusi.

Vinginevyo mtakuwa mnaendeleza Uhuni,maana mwenyekiti amewakataza Matusi.
Mmenisikia...

Ahsanteni....
Kati ya mbowe na covid 19 nani hahahaha sasa
 
Jibu hoja ndugu. Mgombea BINAFSI ameruhusiwa kwenye KATIBA hii? Mbona mnapenda kujivua nguo?
Mimi sikuleta Hoja ya katiba mpya hapa!

Mimi nimeuliza kuhusu Kesi ya Mdee & 18 other's iliyofunguliwa mahakamani.

Usitake kuhamisha hoja....

Nikitaka kuongelea katiba nitakwenda kwenye jukwaa lake humu humu JF.
 
Hakika hii kesi isikilizwe na isiishie tu kwenye suala la ubunge ,Bali ningependezwa zaidi chama changu Cha chadema kiwashitaki nec kwa kufoji saini ya katibu wetu .
Kuliacha hili lipite ivi ivi chama kitakua hakijatutendea haki Wana chama.

Kitendo cha mtu kufoji saini ya katibu mkuu wa chama naona ni kitendo kiovu Sana ,,swali why chama changu hakikutaka kwenda mahakamani mapema Sana kabla hatujafika huku kuanza kuzungushana na akina mdee.

Tufanye Kuna mkakati wa chama ulipangwa ,Basi kwenye hii kesi hili liunganishwe kwenye ushahidi wao .
Yaani hapo Chadema ni kama wanakataa wenyewe kupiga Penalt bila kutuambia ni kwa nini?
 
..hii kesi imefunguliwa ili kuwawezesha kina Halima kuendelea na ubunge mpaka 2025.

..kesi itakuwa inaahirishwa, au kuwekewa mapingamizi, na hukumu haitatoka ilimradi Halima na wenzake waendelee kuwa wabunge.
Lakini kwenye kusikiliza kesi kina Kibatalla si wapo?

Kwa nini wasisubiri huko ili kuiumbua serikali?

Kwani uwepo wa kina Halima Mdee Bungeni kunakwamisha shughuli zozote za Chadema kuendelea?

Acheni bla....blah!
 
Mimi sikuleta Hoja ya katiba mpya hapa!

Mimi nimeuliza kuhusu Kesi ya Mdee & 18 other's iliyofunguliwa mahakamani.

Usitake kuhamisha hoja....

Nikitaka kuongelea katiba nitakwenda kwenye jukwaa lake humu humu JF.
Kwahiyo hiyo issue haihusishi Katiba? Kwa Record Kuna mmoja kati Yao Hadi sasa RECORD zinasoma Bado Yuko Gerezani, ni Bora ukae kimya kuliko kujivua nguo.
 
Ongelea kinachoifanya chadema kuikwepa mahakama kwa muda wote kuhusiana na hii sakata ya wabunge 19.
Na madai ya kughushi Nyaraka bila kuwapeleka mahakamani kuripoti jinai.

Hayo ya katiba utayaongea siku ingine!
 
Je?
Ni kwa sababu Chadema watalazimika kuthibitisha Uharamu wa Nyaraka zilizopelekwa NEC na Bungeni?

Je?
Ni kwa sababu kuna ukweli kwamba kulikuwa na baraka za uongozi wa ngazi za juu nyuma ya kupelekwa majina hayo na uteuzi wake?

Je?
Ni kuinusuru Chadema isiumbuliwe na kina Mdee kwa sababu ya kuyajua mengi ambayo wasingependa yaanikwe hadharani?

Au!
Mbowe anaogopa Uhuni wa Mdee?

Kama wamekwisha fukuzwa uanachama kupitia kikao cha kamati kuu ya Halmashauri ya Chadema.

Kama kiongozi mwandamizi na msemaji wa Chadema Ndugu Mrema alitamkia Dunia kupitia mahojiano na Mtangazaji wa DW-KISWAHILI na kusema...
"Chadema wamemaliza kazi yao"

Inakuwaje Chadema na uongozi wao woote mmehamishia nguvu kwenye kuzuia kesi yao kusikilizwa mahakamani?

Kwa nini Chadema msiandae ushahidi na kusubiri kesi ianze kuunguruma kama inavyopaswa.
Badala ya kuhangaika kuweka pingamizi ili kesi hiyo isiendelee.

Mpaka MBOWE anaamua kuunda ujumbe mzito ili kumshawishi Mh Raisi wa JMT aingilie mhimili wa Bunge na Mahakama kinyume na sheria?

Je?
Bado Chadema mnaona mnafaa kuitwa chama cha demokrasia?

Wale wafuasi wenye Matusi badala ya hoja....

Jitahidini mje na Majibu badala ya Matusi.

Vinginevyo mtakuwa mnaendeleza Uhuni,maana mwenyekiti amewakataza Matusi.
Mmenisikia...

Ahsanteni....
Hivi aliyemtoa yule dada gerezani usiku usku na kwenda kuapishwa asubuhi alikua chadema. Siku sizi chadema Wana mamlaka ya kutoa watu gerezani usku?

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Ongelea kinachoifanya chadema kuikwepa mahakama kwa muda wote kuhusiana na hii sakata ya wabunge 19.
Na madai ya kughushi Nyaraka bila kuwapeleka mahakamani kuripoti jinai.

Hayo ya katiba utayaongea siku ingine!
Kwahiyo TAKUKURU na JESHILA POLISI unataka CDM ndo watoe amri kuchunguza? Nan anatakiwa kufuatilia? Wao walitoa taarifa vyombo ukimya wa nn, Huna hoja ww
 
Huenda kuna jambo haliko sawa na wanahisi akina Mdee wanaweza kuropoka kila kitu

HAIWEZEKANI Mh Mdee wawe na confidence kiasi kile na kushutumu kuwa walichofanyiwa ni uhuni na hata wakakataa kuomba radhi wala kujieleza mbele za Baraza kuu

Akina Mdee wanaamini kuwa wao ni CHADEMA na wana haki ya kuendelea kuwa wabunge
 
Hivi aliyemtoa yule dada gerezani usiku usku na kwenda kuapishwa asubuhi alikua chadema. Siku sizi chadema Wana mamlaka ya kutoa watu gerezani usku?

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Hayo ndiyo wananchi tulitaka yakahojiwe mahakamani.
Lakini cha ajabu ni Chadema kujitahidi kuizuia kesi hii.

Je ni kwa niniiiii??
 
Kwahiyo TAKUKURU na JESHILA POLISI unataka CDM ndo watoe amri kuchunguza? Nan anatakiwa kufuatilia? Wao walitoa taarifa vyombo ukimya wa nn, Huna hoja ww
Hizi kauli waambie wale wanaoamini katika unyumbu.

Siku zote chadema wamekuwa wapinzani wa serikali ya CCM.

Ndani na hata nje ya nchi kwa kuwatumia wanasheria wa kizungu kina Amsterdam.

Haiji wala kuingia akilini imetokea tukio ghushi tena lenye ushahidi tosha.

Halafu uniambie chadema waliiachia Dola ifanye kazi yake,bila ya wao kufungua kesi ya jinai??

"We Can't buy that crap"
 
Kuna watu huhitaji kuonana naye, alicho andika kinaakisi yukoje kichwani
 
Lakini kwenye kusikiliza kesi kina Kibatalla si wapo?

Kwa nini wasisubiri huko ili kuiumbua serikali?

Kwani uwepo wa kina Halima Mdee Bungeni kunakwamisha shughuli zozote za Chadema kuendelea?

Acheni bla....blah!

..serikali imeshaumbuka kwa kufadhili na kulinda wabunge wa kugushi.

..kesi imefunguliwa ili kuishirikisha mahakama ktk kuwalinda wabunge waliogushi.

..kinachofanyika hapa ni kuinajisi mahakama kwa kuishirikisha ktk mambo ya hovyohovyo.
 
Mbowe anajua Mdee ni akili kubwa kama Zitto. Anajua Mdee anamjua mpaka ndani ya boxer yake.
Mbowe ndie alipeleka majina na mjina NEC na mawasiliano ya simu yapo. Hapo lazma boxer igongwe na haja kubwa.
 
Back
Top Bottom