Nimefika alfajiri namshukuru Mungu habariUshafika?
Kwakweli sijapenda kabisa....kwamba??Kwan hujawah sikia neno KUBWA JINGA au DOGO JANJA?
Basi ndio tofaut ilivyo kati ya mwanza na mbeya respectivelly .
Anyways, mbeya kuna watu wenye akil halaf wajanja kibiashara ukitoa Dar.full busy full time.
Na hii ndio sifa ya miji yenye border za kutosha.
Mwanza jiji kubwa lakin limeanza juz tu kuchangamka.Mwingiliano baina ya watu wa jamii tofauti kibiashara bado ni mcha nga ucant compare na mbeya
Usipende mkuu wewe elewa tu halaf utajua nimeandika nn.ila ndio fact hiyoKwakweli sijapenda kabisa....kwamba??
🤣 🤣 🤣 🤣 Dah. JF noma sanaUsipende mkuu ww elewa tu halaf utajua nimeandika nn.ila ndio fact hiyo
Nzuri tu rafiki.. Itabidi nami nianze kusafiri usiku kama ni kutumia usiku mmoja tu kufika.Nimefika alfajiri namshukuru Mungu habari
Nzuri tu rafiki.. Itabidi nami nianze kusafiri usiku kama ni kutumia usiku mmoja tu kufika.
Ntajaribu kisha ntakupa mrejesho.Jaribu....haichoshi kama mchana! Hapa niko road kukata mitaa
Kwamba Mbeya imechangamka kushinda Mwanza kibiashara na ina mwingiliano zaidi wa watu! Labda umebase upande wa biashara ya mazao.Tofauti na hapo unafurahisha genge tu!Kwan hujawah sikia neno KUBWA JINGA au DOGO JANJA?
Basi ndio tofaut ilivyo kati ya mwanza na mbeya respectivelly .
Anyways, mbeya kuna watu wenye akil halaf wajanja kibiashara ukitoa Dar.full busy full time.
Na hii ndio sifa ya miji yenye border za kutosha.
Mwanza jiji kubwa lakin limeanza juz tu kuchangamka.Mwingiliano baina ya watu wa jamii tofauti kibiashara bado ni mcha nga ucant compare na mbeya
Kwamba Mbeya imechangamka kushinda Mwanza kibiashara na ina mwingiliano zaidi wa watu! Labda umebase upande wa biashara ya mazao.Tofauti na hapo unafurahisha genge tu!
Haya.Kwamba Mbeya imechangamka kushinda Mwanza kibiashara na ina mwingiliano zaidi wa watu! Labda umebase upande wa biashara ya mazao.Tofauti na hapo unafurahisha genge tu!
Wewe ndiye uliyekuwa unajiita AssajileZegreat?Haya.
Take it..or...leave it!!
Choice is urs.Hujashikiwa panga ukubali hilo
Anything related to thread?Wewe ndiye uliyekuwa unajiita AssajileZegreat?
Sijui kiingereza bossAnything related to thread?
Alright boss..gud day to uSijui kiingereza boss
50,000×15= 750,000/-Kwa kuanza na Coaster ni hasara, bora Hiace na ziwe hizi new model Hiace Quantum. Ukiweka siti 15 na nauli ikawa 50,000 kidogo unaweza ukahimili.
Na gari iwe na injini ya Diesel upate Hiace yenye 1KD au 1GD hapo kwa Dar-Mwanza itafanya vizuri na tajiri asibanie Service.
2kd inaweza bila matata.50,000×15= 750,000/-
Mkuu naomba unipe mchanganuo wa mafuta, service, posho ya dereva pamoja na dharura za njiani ili nione kwa umbali huo nitaingiza kiasi gani.
Vipi kwa engine ya 2kd inaweza kustahamili kwa hizo safari?
Kinge kila siku😉! .kinge tumia sehemu fikirishi😉!Alright boss..gud day to u