2kd inaweza bila matata.
Umbali wa Dar-Mwanza ni kama km 1150.
2kd lita 1 itatumia kwa 12km.
1150÷12= 96 mafuta tuweke Lita 100 ambayo ni 100×1600=160,000
750,000-160,000=590,000
50,000 emergency njiani inabaki 540,000
40,000 itatumika kwa watu wa kupakia abiria. Inabaki 500,000 posho ya dereva 100,000/=.
Tajiri unaletewa shilingi 400,000, kwa usalama wa gari ikifika mwanza au dar walau weka 50,000 ya check up wewe ubakiwe na 350,000.
Dereva mlipe vizuri, msikilize na gari ifungie Gps, service za kutosha usibanie.
Dereva anachukua hela la mizigo na parcel wewe muachie siku hesabu ikiwa ngumu anajazia mambo yakiwa vizuri hiyo yake.