Kwanini masikini ndo wanaopendelea ngono zaidi?

Kwanini masikini ndo wanaopendelea ngono zaidi?

Masikini siyo kwamba anapenda ngono lahasha hapana...

Masikini anasambaza love... Anasambaza upendo...

Masikini wanaonekana kuwa na familia kubwa kwa sababu hukusanya familia zao pamoja na hawana pa kuzipeleka...

Matajiri hutawanya familia zao...

Masikini huwaza ngono ila matajiri hufanya ngono...



Cc: mahondaw
 
Habari zenu wanajukwaa,

Moja kwa moja niende kwenye mada husika,

Nimekaa nikilifikiria sana jambo hili na nimekosa majibu sahihi ya hili swala na kuamua niwashilikishe na ninyi huenda mnajua zaidi yangu.

Katika utafiti wangu mdogo nilibaini mambo yafuatayo;
(1)Masikini wa kipato ndo wenye familia kubwa ukilinganisha na wenye uwezo.
(2)Asilimia kubwa ya wasiokuwa na kipato au kazi ndo huwaza ngono 24 hrs. Unakuta mtu hana A wala B ila kutwa yuko nyuma ya sketi.

Je nini husababisha hali hii?
Rais Magufuli alisema fyatueni watoto yeye atasomesha bure au umesahau??
 
Eti kisa maskini hana pesa za kuenjoy kwenye ma casino na ma swimming pool beach kwa hiyo hasira zote anazimalizia kweny sex wapi maskini wenzangu
20191105_210009-BlendCollage.jpeg
 
Hiyo Starehe unaipata bure? Kama sio bure basi wewe sio masikini.
 
Back
Top Bottom