Kwanini masikini ndo wanaopendelea ngono zaidi?

Kwanini masikini ndo wanaopendelea ngono zaidi?

Habari zenu wanajukwaa,

Moja kwa moja niende kwenye mada husika,

Nimekaa nikilifikiria sana jambo hili na nimekosa majibu sahihi ya hili swala na kuamua niwashilikishe na ninyi huenda mnajua zaidi yangu.

Katika utafiti wangu mdogo nilibaini mambo yafuatayo;
(1)Masikini wa kipato ndo wenye familia kubwa ukilinganisha na wenye uwezo.
(2)Asilimia kubwa ya wasiokuwa na kipato au kazi ndo huwaza ngono 24 hrs. Unakuta mtu hana A wala B ila kutwa yuko nyuma ya sketi.

Je nini husababisha hali hii?
LIES
UWONGO
MAMBO YA KULA NA NGONO HAYANA UTOFAUTI.
KESHOKUTWA UTAKUJA NA UZI KWA NN MASIKINI WANAPENDELEA KULA SANA
 
Wanafikir Ngono kwakuw hawapat ngono
Wangalikuw wanapat wasingewaza

NB:- mwenye pesa anapata anachota mda wowote.
 
Umetisha.
Aliyekudanganya nani, hao matajiri wake zao kutwa wanafukuliwa na vimarioo mjini, hao matajiri wenyewe kutwa kula bata na wasichana wadogo. Zinaa haina tajiri wala masikini ni kaudhaifu kwa makundi yote mawili hayo. Sema matajiri mambo yao yanakuwa kwa siri zaid kuliko maskini mambo hadharan hata kwenye jumba bovu mnasimamisha shoo.
 
Habari zenu wanajukwaa,

Moja kwa moja niende kwenye mada husika,

Nimekaa nikilifikiria sana jambo hili na nimekosa majibu sahihi ya hili swala na kuamua niwashilikishe na ninyi huenda mnajua zaidi yangu.

Katika utafiti wangu mdogo nilibaini mambo yafuatayo;
(1)Masikini wa kipato ndo wenye familia kubwa ukilinganisha na wenye uwezo.
(2)Asilimia kubwa ya wasiokuwa na kipato au kazi ndo huwaza ngono 24 hrs. Unakuta mtu hana A wala B ila kutwa yuko nyuma ya sketi.

Je nini husababisha hali hii?
Kwahiyo kufukiria sana hiyo topic ukajiona bonge la 'great thinker' eti
 
Back
Top Bottom