Kwanini masikini ndo wanaopendelea ngono zaidi?

Kweli kabisaa na ndio maana masikini wengi wana watoto wengi. Kuna siku nlikua nasikiliza kipindi cha Njia panda Clouds FM yule mama anaomba msaada ana watoto 10 gaan badala ya kumuonea huruma alinitia hasira kiasi kwamba ningekua jirani nae ningemtia bonge la kofi[emoji3] na sio huyo tu nishasikia wengne kama wanne hiv,,pale ndo nlipoamini kweli masikini tunapenda sana chini..
 
Ni uongo kabisa kwamba starehe ya masikini ni ngono........ ngono ili iitwe starehe ina ingredients zake mkuu na moja wapo ni fedha ndo hapo utaiona kama starehe. Na hii ni sawa na kusema maskini anakula sana. Hii haimaanisha kuwa anakula vitamu na balanced diet kumshinda tajiri.
 
Habari zenu wanajukwaa,

Moja kwa moja niende kwenye mada husika,

Nimekaa nikilifikiria sana jambo hili na nimekosa majibu sahihi ya hili swala na kuamua niwashilikishe na ninyi huenda mnajua zaidi yangu.

Katika utafiti wangu mdogo nilibaini mambo yafuatayo;
(1)Masikini wa kipato ndo wenye familia kubwa ukilinganisha na wenye uwezo.
(2)Asilimia kubwa ya wasiokuwa na kipato au kazi ndo huwaza ngono 24 hrs. Unakuta mtu hana A wala B ila kutwa yuko nyuma ya sketi.

Je nini husababisha hali hii?
Ndio butudani pekee tuliyobaki nayo. Wacha tufurahi bwana.
 
Duuuuuuh
Maskini hana la maana aliwazalo zaidi ya

-Tumbo lake.
-Ngono.
-Lawama.

Tajiri 24hrs anawaza jinsi gani ya kuimarisha pato lake, kila kukicha anawaza new idea ya kutunisha a/c yake

Maskini yeye anawaza new idea ya style ya kumpiga demu wake 6*6
 
Uko sahihi mkubwa
Sababu kubwa ni kuwa na muda wa kutosha kutokana na kuwa na kutokuwa na majukumu mengi, na pia ndio starehe pekee wanayoimudu. Nyongeza yaka utakuta wanawake maskini na ambao hawakusoma ndio wanaoongoza kwa kuwa na shepu nzuri na hao ndio wanafaidiwa kuolewa na kuliwa na wanaume mafukara kwa vile wanaume wasomi na wenye pesa wanapenda kuoa wanawake smart kichwani na wenye hali nzuri kipesa. Ndio maana wanaume wenye pesa waliooa wanaendelea kutoka nje ya ndoa zao wakitembea na wale wenye mishepu yao lakini kichwani hamna kitu.
 
Habari zenu wanajukwaa,

Moja kwa moja niende kwenye mada husika,

Nimekaa nikilifikiria sana jambo hili na nimekosa majibu sahihi ya hili swala na kuamua niwashilikishe na ninyi huenda mnajua zaidi yangu.

Katika utafiti wangu mdogo nilibaini mambo yafuatayo;
(1)Masikini wa kipato ndo wenye familia kubwa ukilinganisha na wenye uwezo.
(2)Asilimia kubwa ya wasiokuwa na kipato au kazi ndo huwaza ngono 24 hrs. Unakuta mtu hana A wala B ila kutwa yuko nyuma ya sketi.

Je nini husababisha hali hii?
Tajiri ana access ya starehe nyingi.
 
Maskin uwezo wake utaishia kwenye kuwazia ngono make hawez waza plan nyingine kwa sabab ya mkwanja hahaha
 
Uongo, labda unaongelea matajiri-masikini
Aliyekudanganya nani, hao matajiri wake zao kutwa wanafukuliwa na vimarioo mjini, hao matajiri wenyewe kutwa kula bata na wasichana wadogo. Zinaa haina tajiri wala masikini ni kaudhaifu kwa makundi yote mawili hayo. Sema matajiri mambo yao yanakuwa kwa siri zaid kuliko maskini mambo hadharan hata kwenye jumba bovu mnasimamisha shoo.
 
Una akili, umejibu vyema

Back
Top Bottom