ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,286
- 19,469
Mtu asikudanganye hamna starehe tamu kama kugegedana!!
Sawa mtetezi wa wanyonge tumekusikiaSijui kama kwenye utafiti wako ulihusisha taasisi za utafiti.
Tuanze na suala la kuwa na familia kubwa:
Unafahamu ni shilingi ngapi kushughulika
na mambo ya uzazi wa mpango ambao ni salama?
Nikutaarifu kuwa kipato hapa kinahusika.
(kama hutamlipa daktari basi utalipa nauli
kwenda kituo cha afya kupata ushauri wa bure).
Hilo la pili ni sehemu ya Dharau kwa masikini, sababu maskini
hana mtetezi hivyo kila takataka anatupiwa yeye,
Ukweli ni kwamba matajiri wanaongoza kwa ufusika
hawaonwi mara kwa mara maana wanatumia
mahotel ya nyota tano na hufanya hivyo kwa siri
Hapa watu wenye angalau visenti na kijigari
watanielewa,unapokuwa huna kitu akili
ya kupata mchepuko haipandi.Subiri upate vihela
kidogo ndo unaitambua tabia yako halisi.
Pia ndio wanaipenda Chama Cha MakinikiaHabari zenu wanajukwaa,
Moja kwa moja niende kwenye mada husika,
Nimekaa nikilifikiria sana jambo hili na nimekosa majibu sahihi ya hili swala na kuamua niwashilikishe na ninyi huenda mnajua zaidi yangu.
Katika utafiti wangu mdogo nilibaini mambo yafuatayo;
(1)Masikini wa kipato ndo wenye familia kubwa ukilinganisha na wenye uwezo.
(2)Asilimia kubwa ya wasiokuwa na kipato au kazi ndo huwaza ngono 24 hrs. Unakuta mtu hana A wala B ila kutwa yuko nyuma ya sketi.
Je nini husababisha hali hii?
Spirit chonde chonde., utanitaka radhi muda c mrefu[emoji16] [emoji16]Inasemekana kadri mtu unavyozidi kuwa mjinga (uelewa mdogo) ndio unavyozidi kuwa fertile zaidi