Aaaah! Mkuu ole wako Baba yako awe na hela! halafu mtembelee shangazi Maskini au wa kipato cha kati then una mwelekeo mzuri kimaisha weee! hutakaa urudi!! Anaturingishia Elim, eti msomi... anajidai babake ana hela hataki kula vyakula vichafu!roho mbaya haina cha maskini wala tajiri
mkuu aloyaandika nyaru-sare yapo sema sio kwa wote bt wengi wa mashangazi wapo na roho za kwanini.Nakataa kabisa kuhusu hili. Mimi ni shangazi nina mtoto wa kaka yangu ni bright haswwa akawa anasoma shule nisiyoielewa nilimhamisha na kumpeleka shule nzuri kabisa. Na anajua shangazi yangu ndio ananisomesha
wengi wanaobisha hapa wamelelewa na hao mashangazi wachache wazuri bt hili haliondoi ukwel kua ma aunt wengi wanazingua.Aaaah! Mkuu ole wako Baba yako awe na hela! halafu mtembelee shangazi Maskini au wa kipato cha kati then una mwelekeo mzuri kimaisha weee! hutakaa urudi!! Anaturingishia Elim, eti msomi... anajidai babake ana hela hataki kula vyakula vichafu!
Nilimkatia Nauri ya ndege kwenda Shule mpaka leo hajapanda Ndege tena. waziwazi hajifichi!
mkuu hapa nimekuelewa sana, kuna mambo yanaweza kumfanya mtu awe na roho mbaya bt sio asili yake ila kwa kua wanadam huhukum kinachoonekana tukahukum ile negative pekee.Ujue kinachotutesa watu na kuona wengine wabaya ni expectation ya kupata vitu, before blaming anyone hivi huwa tunajiuliza huyu mtu aliyokuwa anafanya alikuwa mzima au Kuna Mambo alikuwa anapitia sisi hatukujua tukaishia kuhukumu.kila mtu Kuna battle hupitia kimya kimya ni ngumu kuelewa wewe wa nje
WAMERITHI KWA KAKA ZAOOShangazi zangu hunisaidia baada ya mzee Abdul-like figure kujikuta kapatia sana maisha wala hana haja na mimi.
Ila naona wanakuwepo wenye chuki lakini mara nyingi hutegemea na familia, sipingi hoja yako. Hasa ukikuta familia mzee wako ana pesa sana ila kajikataa kwako, hapo usitegemee sana shangazi kukupenda maana watakosa fursa kwa ndugu yao. Kama mzee wako anaenda nao sambamba kiuchumi hapo tegemea wanaweza kwenda kinyume naye na kuonesha true colours.
Pia wenye elimu ndogo sana huwa na tabia za kichawi kiasi. Kwanini anafaulu lakini wanangu wanafeli? Kwanini mdogo wangu amlipie huyu wakati kaka yetu hataki, hiyo hela si wangelipiwa wanangu?
Umaskini nao uko directly proportional na chuki, husda, wivu, tamaa za kijinga na roho ya kwanini.
Sasa ole wako uwe wa ukoo unaoamini kupuliza ndo utakoma. Wenye imani zao wako peace lakini zisiwe imani hybrids kama makanisa ya wahuni.
Mwisho, watu wasipinge tu wakati hawana encounters kama hizi. Mtu anadai sio mwizi wakati hajwahi kuwa na fursa ya kuiba. Hapa nadhani ulilenga scenario ya nyumbani pesa hamna au baba kaingia mitini. Wanaokataa kwa kuchukulia kisa wao kwao maisha safi na ndugu zao huja sikukuu na kwenye sherehe hawajakutana na uhalisia wao. Mbona wazazi wakifa ndugu wengine ndo wanauza mali na kuachia umaskini akina junior waliokuwa wanafake kuwapenda?
Hongera shangazi uko vizuri, kwanza Msomi, una hela, unaishi mjini vizuri, wanao wako vizuri, jitahidi watasaidiana, hii siyo kwa Mashangazi wote! wewe ni miongoni wa hao wenye Roho nzuri.Nakataa kabisa kuhusu hili. Mimi ni shangazi nina mtoto wa kaka yangu ni bright haswwa akawa anasoma shule nisiyoielewa nilimhamisha na kumpeleka shule nzuri kabisa. Na anajua shangazi yangu ndio ananisomesha
Uko sahihimkuu hapa nimekuelewa sana, kuna mambo yanaweza kumfanya mtu awe na roho mbaya bt sio asili yake ila kwa kua wanadam huhukum kinachoonekana tukahukum ile negative pekee.
Ulitaka akupe kwa lazima?
Maana hyo ilikuwa hiyari yake kukupa au kukunyima pia waweza ona Hana majukumu kumbe ana shida zake nyingine. Pia ni vibaya kupangia hela isiyo yako matumizi mwisho ikinyimwa unaona watu wabaya
Hata hilo neno wengi litoe!mashangazi are so amazing watu wakipoteza wazaz ngoma inaangukia kwa shangaz na wajomba acha kabisa ku underate hawa watuUnaposema wengi maana yake si wote, ningesema wote hapo ndo ningepaswa kubadili.