Si ndio hapo!watu tuna mashangazi so amazing yaani ukitaja tu jina shangazi tunatabasam !ngoja nifanye fanye nijipe likizo ni ka hang out na my amazing old auntie!Badilisha kichwa cha habari apo kwenye 'mashangazi wengi' sema 'shangazi yangu'
ndo maana nikasema si wote mkuu.Sio wote! Mama yangu alitangulia mbele ya haki mi nikiwa na miaka 5, malezi ya mama mzazi sikuyapata kabisa aliechukua majukum yakunilea alikua shangazi yangu alinilea kama mwanae wa kumzaa siku pata tatzo lolote alisimamia hadi masomo yangu. Hivyo kama wapo wanao tesa watoto sawa Ila wema pia wapo.
ba mkubwa ni shujaa wa maisha yangu.kongole kwa ba mkubwa
sawa mkuuNi shangazi yako tu mkuu ndiyo yupo hivyo.
Mkuu umeingia kwenye ligi jidhatiti, hii ni vita kubwa yenye kubeba ukweli uliayoinzisha.
nisamehe mkuu, sijamaanisha wote.mimi kama shangazi nimesikitishwa sana na hizi tuhuma dhidi yetu.
hongera mkuu.Mbona mi shangazi anakibarua cha kuniunganishia kademu ka mmama mmoja rafikiake ila vimizinga vya hapa na pale huvikosi na yupo peace and calm
Tutakujadili baadae kwenye kikao chetunisamehe mkuu, sijamaanisha wote.
Sio mashangazi wote ni wabaya, ninavyojua kuna changamoto sana kukaa au kusaidiwa na ndugu yoyote kwa kuwa ni Msaada, wengine wanatumia misaada kutekeleza ajenda zao, ila mashangazi wengi ni watu poa sana kama walivyo wajomba.Natumai hamjambo wanabodi,
Baada ya familia yetu kuyumba kiuchumi shangazi alinichukua kuishi kwake nikiwa darasa la 5.
Baada ya kufaulu kwenda secondary ba mkubwa alijitolea kunisomesha bt shangazi akawa anaweka pingamizi, ba mkubwa hakujali akanilipia nikasoma.
Nilipomaliza form 4, nilifaulu kuendelea bt shangazi aliendelea kumwambia ba mkubwa asinisomeshe, ba mkubwa alikuwa mwelewa hivo alinisimulia kila kitu na kuniambia mashangazi wengi huwa na roho za kwa nini dhidi ya watoto wa ndugu zao, hivo nisijali atanipigania mpaka mwisho.
Shangazi alipoona fitna zake hazifaulu dhidi yangu, aliamua kutengeneza uongo wakuzifitinisha familia yangu na ya ba mkubwa, lengo likiwa mi nikose msaada.
Baba mkubwa alivyo mwelewa akamuita mama na shangazi ili shangazi athibitirhe maneno yake, shangazi alikosa cha kusema akawa na aibu tu.
Nashukuru ba mkubwa alisimama nami mpaka mwisho japo aunt alinichukia sana hadi leo. Je, wakuu kwa nini mashangazi wengi wana roho mbaya?
Natumai hamjambo wanabodi,

sawa mkuu bt msamaha wangu uwasilishe kwenye kikao chenu auntTutakujadili baadae kwenye kikao chetu
ahsante mkuu bt wenye roho mbaya wapo pia.Pole Sana...mashangazi zangu hawana roho mbaya hata mwenyewe sipo huko.