Natumai hamjambo wanabodi,
Baada ya familia yetu kuyumba kiuchumi shangazi alinichukua kuishi kwake nikiwa darasa la 5.
Baada ya kufaulu kwenda secondary ba mkubwa alijitolea kunisomesha bt shangazi akawa anaweka pingamizi, ba mkubwa hakujali akanilipia nikasoma.
Nilipomaliza form 4, nilifaulu kuendelea bt shangazi aliendelea kumwambia ba mkubwa asinisomeshe, ba mkubwa alikuwa mwelewa hivo alinisimulia kila kitu na kuniambia mashangazi wengi huwa na roho za kwa nini dhidi ya watoto wa ndugu zao, hivo nisijali atanipigania mpaka mwisho.
Shangazi alipoona fitna zake hazifaulu dhidi yangu, aliamua kutengeneza uongo wakuzifitinisha familia yangu na ya ba mkubwa, lengo likiwa mi nikose msaada.
Baba mkubwa alivyo mwelewa akamuita mama na shangazi ili shangazi athibitirhe maneno yake, shangazi alikosa cha kusema akawa na aibu tu.
Nashukuru ba mkubwa alisimama nami mpaka mwisho japo aunt alinichukia sana hadi leo. Je, wakuu kwa nini mashangazi wengi wana roho mbaya?