Kwanini Mashangazi wengi wana roho mbaya?

Kwanini Mashangazi wengi wana roho mbaya?

kama hujalelewa na shangazi huwezi kuwa na uhalisia wa jambo hili mkuu.
Si kweli mashangazi hupachikwa ubaya na mawifi na wewe mtoto kubeba ka kilivo, ujue shangazi na mamako Ile ugomvi wa kawaida wa wanawake wao hukimbilia kwa shangazi wabaya, nimeishia na shangazi mda mrefu alikuwa na upendo Kama kanizaa vile.

Pia roho mbaya ya mtu haina shangazi, mjomba dada basi tu huwa umaskini na unsolved conflicts
 
Hearly hii dhana inakuja pale unapokutana na wahanga wengine katika mazungumzo hivo unajikuta unajisemea kumbe tupo wengi.
 
Si kweli mashangazi hupachikwa ubaya na mawifi na wewe mtoto kubeba ka kilivo, ujue shangazi na mamako Ile ugomvi wa kawaida wa wanawake wao hukimbilia kwa shangazi wabaya, nimeishia na shangazi mda mrefu alikuwa na upendo Kama kanizaa vile. Pia roho mbaya ya mtu haina shangazi, mjomba dada basi tu huwa umaskini na unsolved conflicts.
Nimekuelewa mkuu japo kishingo upande.
 
Ni shangazi yako tu mkuu ndiyo yupo hivyo.
 
Bila kusahau kuwaroga watoto wa kaka zao, halafu inakuwaje kila shangazi kama siyo wengi ni lazima awe mchawi? nimekuja kuhitimisha kwamba asilimia kubwa ya wanawake ni walozi..
 
we jamaa bwana mi shangazi alishawai nisukumia pisi nikapiga huyo atakua shangazi yako peke yako mswahili
 
Sio wote! Mama yangu alitangulia mbele ya haki mi nikiwa na miaka 5, malezi ya mama mzazi sikuyapata kabisa aliechukua majukum yakunilea alikua shangazi yangu alinilea kama mwanae wa kumzaa siku pata tatzo lolote alisimamia hadi masomo yangu. Hivyo kama wapo wanao tesa watoto sawa Ila wema pia wapo.
Natumai hamjambo wanabodi,

Baada ya familia yetu kuyumba kiuchumi shangazi alinichukua kuishi kwake nikiwa darasa la 5.

Baada ya kufaulu kwenda secondary ba mkubwa alijitolea kunisomesha bt shangazi akawa anaweka pingamizi, ba mkubwa hakujali akanilipia nikasoma.

Nilipomaliza form 4, nilifaulu kuendelea bt shangazi aliendelea kumwambia ba mkubwa asinisomeshe, ba mkubwa alikuwa mwelewa hivo alinisimulia kila kitu na kuniambia mashangazi wengi huwa na roho za kwa nini dhidi ya watoto wa ndugu zao, hivo nisijali atanipigania mpaka mwisho.

Shangazi alipoona fitna zake hazifaulu dhidi yangu, aliamua kutengeneza uongo wakuzifitinisha familia yangu na ya ba mkubwa, lengo likiwa mi nikose msaada.

Baba mkubwa alivyo mwelewa akamuita mama na shangazi ili shangazi athibitirhe maneno yake, shangazi alikosa cha kusema akawa na aibu tu.

Nashukuru ba mkubwa alisimama nami mpaka mwisho japo aunt alinichukia sana hadi leo. Je, wakuu kwa nini mashangazi wengi wana roho mbaya?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom