Kwanini Marekani ameshindwa kuimaliza Iran haraka?

Mpaka sasa hakuna hata risasi moja iliyorushwa Marekani, hii vita anayepoteza ni Iran. Kushambulia kambi haifanyi Marekani apoteze vita, hizo za Iran zinashambuliwa kwa intensity kubwa kuliko. Sasa nchi hata haimiliki anga lake hiyo kweli useme inashinda.

Wangepakana kweli mashambulizi kadhaa yangefika US ila ndio US ingekuwa na nguvu kubwa zaidi ya kushambulia.
 
Huyo let the caged bird sings ni religious fanatic and Extrimist mijadala mingi anaiweka katika mtazamo wa chuki za kidini.

Miaka mingi Jf ila Hana lugha za staha katika majadiliano haswa yanayohusisha dini hata kwa asilimia 1% lazima atapokea kwa sura nyingine na kuanza matusi , kebehi na ujinga badala ya ustaarabu na facts
 
Ushuhuda kutoka kwa mtu wa Mungu aliye onyeshwa MAONI YA UFUNUO na Yesu...kwamba IRANI ina silaha hatari zaidi duniani zenye uweze mkubwa zaidi wa kuharibu sehemu kubwa zaidi ya duniani kuliko nchi yeyote duniani...

Na kwamba Yesu hataruhusu zitumike kabla hajawaondoa watu wake (watakatifu ama kanisa)..katika UNYAKUO WA WATAKATIFU...mana hizo silaha ambazo zimefichwa kwa siri IRANI ni silaha hatari kabisa duniani..YESU alimuonyesha mpaka zilipofichwa akamuelezea na uwezo wake wa kufanya madhara makubwa duniani...

TAKE HOME MESSAGE

UNYAKUO WA WATAKATIFU UMEKARIBIA sana...tengeneza mambo ya nyumba yako..hizi ni dakika za mwishoni....
 
Military base za USA hazina maana yoyote kiufupi marekani kajiaribia ameonekana kajanja
 
Sijui kwa nini Trump kawa mtumwa wa Netanyahu wakati Biden hakua ivyo
 
Sawa!

Vipi kuhusu Pol Pot wa Cambodia sasa ???

Jirani kabisa na Vietnam.....
​
 
Kwa kuongezea kwa uchache ni kwamba, kama Iran ingepakana na US kama Russia na Ukraine, yamkini hadi sasa hali kwa Iran ingekuwa ni mbaya mbaya zaidi.
 
Hapa Malcolm umekosea kulinganisha.

Vita ya Iran na Marekani ni very systematic.

According to USA na Marekani baadhi ya Mashambulizi yaliyofanywa mwaka jana na mwaka huu kwa Iran yalipangwa miaka zaidi ya 20 kabla.

Kwenye vita ya Siku 12 Israel na USA walishambulia vinu vya nyuklia vya Iran na kuhakikisha Iran hawezi kuunda bomu wakati anashambuliwa.

Kwenye vita hii ukiangalia unaona focus ziko kwenye kuharibu program ya Iran ya Makombora na kuharibu uwezo wa serikali ya Iran kufanya kazi na kuzuia maandamano na vikundi vyote vya Uasi.
 
Mbona huo ukaribu haujamsaidia kwa kambi zake zilizoko karibu na mipaka ya Iran badala yake anashambulia kutoka mbali.
Suala la ukaribu au umbali sio sababu.
Hawa BAZAZI UNITED ni wagumu kuelewa...

Kama ukaribu ni sababu, kwanini CIA walishindwa kuivamia Cuba kanchi kadogo mwaka 1961 na kusababisha maelfu ya vifo vya majasusi wa CIA na waasi wa Cuba ??? Ile Oparesheni Marekani alishindwa vibaya mno na mpaka leo hii hajamsamehe Cuba, anamwekea vikwazo bila huruma yani. Kiukweli Marekani aliaibika vibaya mno. Mambo kama haya huwa yanatokea sana tu kwenye vita..
​
 
Tukisema jamaa kapuyanga anatumind. Taifa dogo ambalo hata China mwenye alihofia??? Jamaa hapa kazingua.
 
Swali rahisi kabisa: Kama walifanikiwa kuharibu vinu vya nyuklia mwaka jana, sasa wanaharibu nini ???​
 
Sasa mkuu ata rushaje wakati hawashei mpaka ? Mfano umbali walio nao Iran na Marekani ndo ungekuwa wa Ukraine na Urusi je Ukraine ingeweza kuoshambulia ardhi ya Marekani?
Kwa hiyo migogoro hii miwili inatofautiana katika mkitadha wa kijografia na malengo na sio kiuwezo.

Nje ya mada kwa mtazamo wako unavyo ona huyu mtoto wa Khamenei anaweza kweli kuiongoza Iran?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…