macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,223
- 60,290
Mamba ujanja wake mkubwa wa kuua ni kwa kuzamisha ndani ya maji windo lake na kufa kwa kukosa hewa. Inapofika kwa kiboko anakwama kwani kiboko naye ana uwezo wa kuzama ndani ya maji kwa muda mrefu bila kufa. Hivyo mapigano yataendelea hata ndani ya maji na kwa ukubwa wa kiboko uwezekano wa kushinda ni mkubwa.Huwa najiuliza sana, Mamba anakula nyama na Kiboko anakula nyasi, lakini wanaishi sehemu moja. Kwa tabia ya Mamba anakula mnyama yoyote anayekatiza mbele yake. Sasa mbona hamtafuni Kiboko na yuko nae muda mwingi?
[emoji16][emoji16][emoji16]umewahi kuona mdomo wa kiboko unavyofunguka.mamba akijichanganya anapigwa 1 bila
^Ujasiri^ ndiyo jibu sasaTHUBUTUUU!!
Simba ni wanyama wasiopenda windo lenye usumbufu kama nyegere.
Ni ngumu sana simba kumuua nyegere!
Kale kajamaa ni kakali na kana ujasiri wa kupambana bila kurudi nyuma. Simba wengi huwa wanakaacha. (labda huenda pia kwa sababu wanakaona ni kaduchu hakana minofu ya kushibisha)
Mnyama pekee mwenye uwezo wa kumuua nyegere ni chui maana chui ana kasi sana na anajua kukamata wanyama haraka bila kusita sita. He is sharp.
Kiboko ndio kiboko Mzee..Acha kabisa.. Mamba ni Kiboko aisee..
Yaa ni kweli na kingine kiboko nae ana mdomo mkubwa anauwezo wa kung'ata mamba katikati ya mgongo na tumbo ndio maana hata mamba nae kwa kiboko anasalimu amriWengi wamechangia lakini jibu hasa wameshindwa kulitoa. Jibu ni kuwa mamba huua windo lake kwa kulizamisha majini na kufa kwa kukosa hewa. Pamoja na kuwa mamba ana meno makali na yanayojeruhi sana lakini kinachofanya aue windo lake kwa urahisi ni kwa sababu analizamisha kwenye maji na kufa kwa kukosa hewa. Na kiboko ni mkubwa na ana uwezo wa kukaa majini kwa muda mrefu bila kutoka kuvuta hewa. Hivyo kama mamba atajaribu kumshambulia mapigano yataendelea mpaka ndani ya maji na kwa ukubwa wa kiboko uwezekeno wa kushinda ni mkubwa.
Kiboko aiseeHivi kwani Kiboko na mamba nani kiboko?
Mamba atakuwaje kiboko, tena!??? Najua mamba ni mamba, kiboko ni kiboko. Unajichanganya mwenyeweNyie msichanganye madawa...
Wote ni kiboko...!!
Ukweli pia ni kwamba wanyama wote wakubwa, regardless ni predator ama la, ni tishio kwa mamba. Sema tu uoga wa mnyama anayewindwa halafu na taiming' ya mamba ndiyo silaha. Sasa Mr Hippo yeye ni confident all the time. Anaweza kuwa katikati ya mamba wengi, lakini bado akaekti very composed as if mkurugenzi kaalikwa kwenye mkutano wa kupongezwa kwa mafanikio aliyoyaleteleza kuhalmashauri. ^CONFIDENCE^ ndiyo key [emoji360].Wengi wamechangia lakini jibu hasa wameshindwa kulitoa. Jibu ni kuwa mamba huua windo lake kwa kulizamisha majini na kufa kwa kukosa hewa. Pamoja na kuwa mamba ana meno makali na yanayojeruhi sana lakini kinachofanya aue windo lake kwa urahisi ni kwa sababu analizamisha kwenye maji na kufa kwa kukosa hewa. Na kiboko ni mkubwa na ana uwezo wa kukaa majini kwa muda mrefu bila kutoka kuvuta hewa. Hivyo kama mamba atajaribu kumshambulia mapigano yataendelea mpaka ndani ya maji na kwa ukubwa wa kiboko uwezekeno wa kushinda ni mkubwa.
Umepatia 92.31%Mamba ujanja wake mkubwa wa kuua ni kwa kuzamisha ndani ya maji windo lake na kufa kwa kukosa hewa. Inapofika kwa kiboko anakwama kwani kiboko naye ana uwezo wa kuzama ndani ya maji kwa muda mrefu bila kufa. Hivyo mapigano yataendelea hata ndani ya maji na kwa ukubwa wa kiboko uwezekano wa kushinda ni mkubwa.
Kiboko ni kiboko na mamba ni mamba. Angalia hata kwenye Oxford utaambiwa hivyo. Happy [emoji1] New Year 2021Hivi kwani Kiboko na mamba nani kiboko?
Hii ndiyo sayansi tunataka sasa. Eti nasema uongo, ndugu zangu!???A male hippo can weigh up to 3,300–4,000 pounds, females up to 3,300 pounds. ... Nile crocodiles have a bite force of 5000 psi but their mouths are smaller than a hippo's. Any adult hippo can bite a crocodile in half. So, by power and size, hippos are victorious.
Mamba atakuwaje kiboko, tena!??? Najua mamba ni mamba, kiboko ni kiboko. Unajichanganya mwenyewe
Huwa anamla akiwa mfu tu!Hoja yako ni irrelevant mkuu,swali La mtoa hoja lina maana,simba kunawakati hula tembo lakini kwamwe huwezi kuta mamba akila kiboko kwanini?
Eee! akatafute sehemu nyingine, asilete bughudha, wazee wanataka amani.Kiboko ni mbabe mamba akicheza ataondolewa majini!
Kwan simba kumla swala hua wanacompete kwenye chakula! Tuliza akilSababu kubwa hawa compete katika chakula,. Kiboko hula majani, mamba hula nyama