Kwanini Mama Janeth Magufuli asingesubiri msiba Chato?

Kwanini Mama Janeth Magufuli asingesubiri msiba Chato?

Mkuu jiongeze kwani jesca ana watoto saba ?
 
Kamati ya utaratibu wa mazishi mko wapi?

Mnamchosha mama Janet hali yake sio nzuri, ana majonzi sana kwanini asingeachwa apumzike nyumbani au atangulie Chato kusubiri msiba?

Situation anayopitia mama Janet sasahivi ni ngumu sana, anahitaji muda mwingi wa faraja na kumpumzika.

Sijapenda kabisa

Kwahiyo atazunguka safari zote hizo za kuagwa au? Mtampa maumivu zaidi na mnamchosha.
Muwe mnauliza kwanza, hivi Jesca ana watoto wa kuzaa yeye saba?
Ukiwa mtu mzima si kila kitu lazima uambiwe!!
 
Kuna watu wanalia kuliko mama Janeth hata keki ya taifa hawaonjii
 
Msiba usikie kwa mwenzio, utatamani hata kaburini mwende wote
 
Huyu mama anateswa na kuchoshwa kila wakati kumpitisha kwenye jeneza la mme wake amuage

Mlianza Dar ,na leo Dodoma,sitegemei kama mtampeleka kuaga Zanzibar na Mwanza

Mnamchosha Mke wa marehemu kama mnavyomchosha marehemu mwenyewe kumzungusha mitaani eti watu wamuage, hii sio haki na ni udhalilishaji wa marehemu hata kama alikuwa anapendwa na watanzania wanaojiita wanyonge

Mama Janeth Magufuli anauchungu wa kufiwa na mme wake kitendo Cha kumpeleka kila sehemu mnakopeleka mwili wa Magufuli na kutaka Mke wake aage ni kumuongezea machungu ya kufiwa,mwacheni mama wa watu akapumzike Chato asubiri mazishi ya mme wake

Pia hii tabia ya kumzungusha marehemu mitaani na maeneo mbalimbali ya nchi sio sawa ni udhalilishaji tu, Katiba inasema akifariki rais awekwe ikulu au mahali pengine panapofaa aagwe na wananchi wote kutoka sehemu mbalimbali then akazikwe.

Hivi Magufuli hana ndugu wakakemea suala hili la ndugu yao kuzungushwa mitaani kuagwa?? Rais aliezungushwa mitaani baada ya kufa ni Samuel Doe wa Liberia tena hakuzungushwa kwa wema ,sasa inakuaje marehemu Magufuli anazungushwa ovyo ovyo mitaani itafikiri kauliwa na waasi?

FB_IMG_16164412455054721.jpg
 
Hivi bado naskia kuna Zanzibar, Why? kutoka Dodoma hapo kituo ingekua Chato moja kwa wa Zanzibar na Mwanza wakaambiwa wajiunge Chato hii panda shuka panda shuka kwakweli hata maiti itachoka. 😓
 
Mbona hukulalamika wakati anapita mtaa hadi mtaa akiomba kura za urais!
 
Huyu mama anateswa na kuchoshwa kila wakati kumpitisha kwenye jeneza la mme wake amuage

Mlianza Dar ,na leo Dodoma,sitegemei kama mtampeleka kuaga Zanzibar na Mwanza...
Naunga mkono hii hoja.

Tufikirie upande wa kibinadamu kwa wafiwa.
 
Gharama za kuwa mwenza wa kiongozi.. Waliahidi kuwa watakuwa na sisi katika hali zote..taabu na raha,magonjwa na afya,vifo na uhai
 
Kwakweli hilo linanishangaza,bora wangemtanguliza kule chato akasubiri hiyo 26!

This is not fair tangu Jana ana kazi ya kuaga kila siku? kwann jmn?

Mpumzisheni jamani,najisikia vby sn,amechoka huyu mama!

Halafu ndo mmpeleke Zanzibar, Mwanza ,geita,chato? Hapana jmn pelekeni hiyo mauti iagwe kama haiwezekani kusitishwa lakini ye mmtangulizeni chato akapumzike asubiri kumzika mumewe!
 
Back
Top Bottom