jacspyro
Member
- Jun 12, 2015
- 90
- 81
Wachambuzi wa mambo ya kisiasa hawana tofauti na wachambuzi wa mambo ya mpira, yani timu ifungwe ama ishinde hayatakosekana ya kuongelea kwenye hiyo mechi.
Mkijitoa nyinyi mnaolalamika mama anateswa kisa amehudhuria hapo dodoma, wangekuja wengine kulalamika kama asingekuwepo hapo leo.
Mkijitoa nyinyi mnaolalamika mama anateswa kisa amehudhuria hapo dodoma, wangekuja wengine kulalamika kama asingekuwepo hapo leo.