Kwanini Malkia Elizabeth hamiliki Paspoti ya kusafiria?

When travelling overseas, The Queen does not require a British passport. As a British passport is issued in the name of Her Majesty, it is unnecessary for The Queen to possess one. All other members of the Royal Family, including The Duke of Edinburgh and The Prince of Wales, have passports.

Kwanini yeye tu, mbona hata Marais wa mataifa yenye nguvu Duniani kama US, RUSSIA, CHINA na nyingine wana papspoti?

Je, kuna kiongozi mwingine, ambaye ana hii privilege? Ina maana ana kitu gani cha ajabu??
Anamiliki Dunia Sasa passport ya Nini??
 
Ok hiyo ni Tanzania. China Malkia pia anasujudiwa pia?
Du! yamekuwa hayo tena
Malkia ni head of states kwa nchi nyingi, zikiwemo Canada, Australia, South Africa, Pakistan na United of Kingdom yote, list inaenda hadi Tanzania,

Wanamiliki acres bilion 6.6 dunia nzima (kumbuka Canada ni nchi ya pili kwa ukubwa duniani na Australia ni ya sita),

Hebu achana na huyu THE QUEEN, utaumiza moyo wako bureeeeeeee.
 
😀 😀 😀 😀 😀 Halafu haka kabibi mbona hakavuti😉
 
Kuna bro pale juu kaeleza vizuri juu ya tofauti kati ya utawala wa kifalme na utawala wa kidemokrasia,

Utawala wa kifalme, Mfalme/Malkia ndio mamlaka ya kila kitu katika nchi husika.
... Hapana. Tawala za kifalme ziko za aina mbili; absolute manarchy na constitutional monarchy. Hayo maelezo yako yanaangukia Hilo kundi la kwanza ambapo mfalme ndiye kila kitu; neno lake ni sheria. Mfano ni Saudi Arabia na Eswatini kwa Mswati.

Constitutional monarchy nguvu za mfalme ziko controlled na katiba na sheria. Bunge laweza kutunga sheria kumdhibiri mfalme. Mfano, Uingereza kabla ya 2013 ilikuwa kwamba mzaliwa wa kwanza wa KIUME ndiye mrithi wa ufalme. Bunge likasema no; tukiwa (wao) kama nchi inayohubiri usawa wa kijinsia sheria ile ina mapungufu; wakabadili ikawa mzaliwa wa KWANZA regardless of gender.

Tofauti na UK, uliona ya Saudi Arabia; mfalme Salman aliamka zake asubuhi akamtangaza mwanae Mohamed bin Salman kuwa crown prince the next king ambaye wala hakuwa kati ya watu watano wa mwanzo katika mtiririko wa urithi na ikawa hivyo! Sio Bunge wala nani aliyehoji.

Hope umepata japo picha ya tofauti ya aina mbili za falme.
 
Mkuu umeeleweka vema na kwa sauti ya kutosha
 
😀 😀 😀 😀 😀 Halafu haka kabibi mbona hakavuti😉
Hata wewe ukizeeka utakua huvutii tena, ndio maana ya uzee.
images%20(18).jpg
 
Qmmke hawa ndo waliambiwa na Mungu nendeni mkaishi duniani na sio kuteseka pamoja na Queen Elizabeth
 
When travelling overseas, The Queen does not require a British passport. As a British passport is issued in the name of Her Majesty, it is unnecessary for The Queen to possess one. All other members of the Royal Family, including The Duke of Edinburgh and The Prince of Wales, have passports.

Kwanini yeye tu, mbona hata Marais wa mataifa yenye nguvu Duniani kama US, RUSSIA, CHINA na nyingine wana papspoti?

Je, kuna kiongozi mwingine, ambaye ana hii privilege? Ina maana ana kitu gani cha ajabu??
Kabla hajawa queen alikua princes Bila shaka km hao maprinces wa sasa ambao umesema wanamiliki passport Kwa kigezo hicho inamaana na yeye anayo aliyokuwa anaitumia kipind anatumia status ya uprinces
 
Hata mimi sielewi inamaana akifa mrithi wake nae hatamiliki paspoti
 
Back
Top Bottom