Kwanini Malkia Elizabeth hamiliki Paspoti ya kusafiria?

Its funny that jibu lako lipo kwenye hayo maandishi ya kiingereza na bado unatuuliza.

Okay hana passport wala leseni sababu hivyo vitu viwili vipo chini ya majina yake, wakaona haina haja yeye kumiliki.
Kwasababu yeye ndio nchi. UK ni private property yake, wengine ni wapangaji. Hata hivyo ningependa kujua Mswati na yeye akisafiri hana passport?
 
Namna uliyotumia kumjibu ni namna walau sahihi ya kumwelewesha mtu.

Imagine, kwenye post yake kuna mahali panasema, "As a British passport is issued in the name of Her Majesty, it is unnecessary for The Queen to possess one."

Mimi pia nimeelewa, na ningependa kuongeza maswali, tuna nchi kama Saudi Arabia ambazo ziko chini ya tawala za kifalme, utaratibu wao ukoje kuhusu passports? Kama passports zao zinakuwa in the names of Kings, hao Kings nao hawamiliki passports?

Hivi inamaana akifa mwanae atakayerithi ufalme naye atazipa paspoti majina yake, kama sio ina maana kabla ya huyu bibi waliotangulia pia hawakumiliki paspoti?
 
Namna uliyotumia kumjibu ni namna walau sahihi ya kumwelewesha mtu.

Imagine, kwenye post yake kuna mahali panasema, "As a British passport is issued in the name of Her Majesty, it is unnecessary for The Queen to possess one."

Mimi pia nimeelewa, na ningependa kuongeza maswali, tuna nchi kama Saudi Arabia ambazo ziko chini ya tawala za kifalme, utaratibu wao ukoje kuhusu passports? Kama passports zao zinakuwa in the names of Kings, hao Kings nao hawamiliki passports?
Jibu ni YES, Kings and Queens hawahitaji Passport kama wakisafiri kwenda nchi zingine.

Kumbuka, Passport ni kwa ajili ya Kiongozi wa nchi husika kumuombea kibali RAIA wake kuingia kwenye nchi anayoitaka,

Sasa kama mwenye nchi (King or Queen) ndie anataka kusafiri hana haja ya kua na passport sababu hizo passports zipo chini ya majina yake.

Unaweza ku google kwa taarifa zaidi.
 
Utawala wa kifalme (monarchy) ni wa maisha i.e. hadi kifo, tofauti na utawala wa kidemokrasia ambapo mtu hupewa dhamana kwa kipindi fulani.

Mf: Obama sasa hv ni raia wa kawaida kisheria, nikimaanisha kabla na baada ya kumaliza kipindi chake cha utumishi wa umma kama raisi yeye ni mwananchi na raia kama raia mwingine ila malkia/mfalme yeye ukomo wake ni pale mauti yanapomkuta.
There remain, as of 2020, twelve sovereign monarchies in Europe. Seven are kingdoms: Denmark, Norway, Sweden, the United Kingdom, Spain, the Netherlands and Belgium. Andorra, Liechtenstein, and Monaco are principalities, while Luxembourg is a Grand Duchy. The Vatican City is a theocratic state ruled by the Pope.

Hivi hizi nchi pia si ni monarchy? inamaana hao viongozi nao pia hawana paspoti
 
Jibu ni YES, Kings and Queens hawahitaji Passport kama wakisafiri kwenda nchi zingine,
Kumbuka, Passport ni kwa ajili ya Kiongozi wa nchi husika kumuombea kibali RAIA wake kuingia kwenye nchi anayoitaka,

Sasa kama mwenye nchi (King or Queen) ndie anataka kusafiri hana haja ya kua na passport sababu hizo passports zipo chini ya majina yake.

Unaweza ku google kwa taarifa zaidi.

Mlitakiwa mumjibu hivi mapema, wewe ni mzoefu wa mitandao, probably uko kwenye baadhi ya mitandao ya nje kama Reddit, Quora n.k, kule mtu akiuliza swali watu wanatoa ufafanuzi unaomwacha mtu bila maswali.

Lakini huku kwetu, maswali yanajibiwa kwa maswali, ufafanuzi hautolewi, wakati mwingine muuliza swali anajibiwa kwa kuitwa kilaza na majina kadhaa.

Tujitahidi kuifanya JF iwe mahala mtu unaweza kuuliza swali ukajibiwa kistaarabu na kwa ufafanuzi.
 
Je, kuna kiongozi mwingine, ambaye ana hii privilege? Ina maana ana kitu gani cha ajabu??

King of Saudi Arabia,
Nina hakika Kings na Queens wote, sababu ni zile zile, hizo passports zipo chini ya majina yao,

Mfano: "IN THE NAME OF THE KING, OF THE KINGDOM OF SAUDI ARABIA, I REQUEST AND REQUIRE ALL THOSE WHOM IT MAY CONCERN, TO ALLOW THE BEARER TO PASS FREELY WITHOUT LET OR HINDRANCE AND TO AFFORD THE BEARER SUCH ASSISTANCE AND PROTECTION AS MAY BE NECESSARY"

Passport ya Saudi Arabia imeandikwa hivyo sasa hapo Mfalme wa Saudia anakuwaje na Passport wakati tayari ipo chini ya jina lake?
 
Mlitakiwa mumjibu hivi mapema, wewe ni mzoefu wa mitandao, probably uko kwenye baadhi ya mitandao ya nje kama Reddit, Quora n.k, kule mtu akiuliza swali watu wanatoa ufafanuzi unaomwacha mtu bila maswali.

Lakini huku kwetu, maswali yanajibiwa kwa maswali, ufafanuzi hautolewi, wakati mwingine muuliza swali anajibiwa kwa kuitwa kilaza na majina kadhaa.

Tujitahidi kuifanya JF iwe mahala mtu unaweza kuuliza swali ukajibiwa kistaarabu na kwa ufafanuzi.
Nimekuelewa kaka mkubwa, mimi na wenzangu tutajirekebisha.
 
Jibu umeshaliandika mwenyewe katika paragraph ya kwanza. Unatakaa tukupe jibu gani jingine?
There remain, as of 2020, twelve sovereign monarchies in Europe. Seven are kingdoms: Denmark, Norway, Sweden, the United Kingdom, Spain, the Netherlands and Belgium. Andorra, Liechtenstein, and Monaco are principalities, while Luxembourg is a Grand Duchy. The Vatican City is a theocratic state ruled by the Pope.

viongozi wa nchi hizi pia hawana pasipoti?
 
Back
Top Bottom