Kwanini Malkia Elizabeth hamiliki Paspoti ya kusafiria?

Kwanini Malkia Elizabeth hamiliki Paspoti ya kusafiria?

Here remain, as of 2020, twelve sovereign monarchies in Europe. Seven are kingdoms: Denmark, Norway, Sweden, the United Kingdom, Spain, the Netherlands and Belgium. Andorra, Liechtenstein, and Monaco are principalities, while Luxembourg is a Grand Duchy. The Vatican City is a theocratic state ruled by the Pope.

viongozi wa nchi hizi pia hawana pasipoti?
Soma aya ya kwanza ktk jibu langu.

Na pia nyongeza niliyoweka mwishoni.
 
Utawala wa kifalme (monarchy) ni wa maisha i.e. hadi kifo, tofauti na utawala wa kidemokrasia ambapo mtu hupewa dhamana kwa kipindi fulani.

Mf: Obama sasa hv ni raia wa kawaida kisheria, nikimaanisha kabla na baada ya kumaliza kipindi chake cha utumishi wa umma kama raisi yeye ni mwananchi na raia kama raia mwingine ila malkia/mfalme yeye ukomo wake ni pale mauti yanapomkuta.
Uko sahihi kuwa utawala wa kifalme ni wa maisha. Lakini, utawala wa kifalme unaweza kuwa wa kidemokrasia pia kama ilivyo kwa Uingereza (constitutional monarchy) ambapo Malkia hana mamlaka yote ya nchi ama kwa lugha nyingine, absolute power.

Kwa kukusahihisha, ungeweza kuufananisha utawala wa kifalme (monarchy) na ule wa kijamhuri (republic) na si wa kidemokrasia sababu utawala wa kifalme waweza kuwa democratic pia.
 
When travelling overseas, The Queen does not require a British passport. As a British passport is issued in the name of Her Majesty, it is unnecessary for The Queen to possess one. All other members of the Royal Family, including The Duke of Edinburgh and The Prince of Wales, have passports.

Kwanini yeye tu, mbona hata Marais wa mataifa yenye nguvu Duniani kama US, RUSSIA, CHINA na nyingine wana papspoti?

Je, kuna kiongozi mwingine, ambaye ana hii privilege? Ina maana ana kitu gani cha ajabu??
 
Hivi passport ni nini? Ni kitambulisho. Kitambulisho ni nini? Ni document yenye taarifa za msingi za mhusika. Kama mhusika taarifa zake za msingi zinajulikana popote duniani ana haja gani kubeba document yenye taarifa hizo hizo zinazojulikana popote? Nonesense! That's why Her Majesty or His Holiness does not need to carry id cards.
Basi kina Michael Jackson nao wasingekuwaa nazo.
 
Hivi passport ni nini? Ni kitambulisho. Kitambulisho ni nini? Ni document yenye taarifa za msingi za mhusika. Kama mhusika taarifa zake za msingi zinajulikana popote duniani ana haja gani kubeba document yenye taarifa hizo hizo zinazojulikana popote? Nonesense! That's why Her Majesty or His Holiness does not need to carry id cards.
mbona kina ronaldo wanazo???
 
Jibu ni YES, Kings and Queens hawahitaji Passport kama wakisafiri kwenda nchi zingine.

Kumbuka, Passport ni kwa ajili ya Kiongozi wa nchi husika kumuombea kibali RAIA wake kuingia kwenye nchi anayoitaka,

Sasa kama mwenye nchi (King or Queen) ndie anataka kusafiri hana haja ya kua na passport sababu hizo passports zipo chini ya majina yake.

Unaweza ku google kwa taarifa zaidi.
Vip kuhusu raisi maana taasisi hizo pia zipo chini yake
 
Mwingine ambae hamiliki passport ni Papa.
The Pope holds Vatican passport number one. ... The Pope also has diplomatic immunity and is given the same courtesy and protection in any country he visits just like any other visiting head of state would receive.

Papa anayo Paspoti
 
Mbona hata papa wa kanisa la catholic hana passport
anayo

The Pope holds Vatican passport number one. ... The Pope also has diplomatic immunity and is given the same courtesy and protection in any country he visits just like any other visiting head of state would receive.
 
When travelling overseas, The Queen does not require a British passport. As a British passport is issued in the name of Her Majesty, it is unnecessary for The Queen to possess one. All other members of the Royal Family, including The Duke of Edinburgh and The Prince of Wales, have passports.

Kwanini yeye tu, mbona hata Marais wa mataifa yenye nguvu Duniani kama US, RUSSIA, CHINA na nyingine wana papspoti?

Je, kuna kiongozi mwingine, ambaye ana hii privilege? Ina maana ana kitu gani cha ajabu??
Uliza na swali lingine - Kwanini raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanaoishi nchi za nje wanashauriwa kujiandikisha majina na anuani zao mapema iwezekanavyo katika ofisi ya ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyo karibu, kama hakuna ofisi hiyo wajiandikishe katika ofisi ya Ubalozi wa Uingereza.

Swali ni, Je, Kwanini iwe Ubalozi wa Uingereza na sio Ubalozi wa mataifa mengine?

You may ask another question - Why the citizens of the United Republic of Tanzania resident abroad should at the earliest opportunity register their names and addresses at the nearest mission of the United Republic of Tanzania, or, where these offices do not exist, with the nearest mission of the United Kingdom Representative.

The question is, why the mission of the United Kingdom Representative and not otherwise?
 
Uliza na swali lingine - Kwanini raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanaoishi nchi za nje wanashauriwa kujiandikisha majina na anuani zao mapema iwezekanavyo katika ofisi ya ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyo karibu, kama hakuna ofisi hiyo wajiandikishe katika ofisi ya Ubalozi wa Uingereza.

Swali ni, Je, Kwanini iwe Ubalozi wa Uingereza na sio Ubalozi wa mataifa mengine?

You may ask another question - Why the citizens of the United Republic of Tanzania resident abroad should at the earliest opportunity register their names and addresses at the nearest mission of the United Republic of Tanzania, or, where these offices do not exist, with the nearest mission of the United Kingdom Representative.

The question is, why the mission of the United Kingdom Representative and not otherwis

raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanaoishi nchi za nje
UNAMAANISHA ULAYA??
 
Hapana sio Ulaya tu! Hata ukiwa kwenye nchi zingine za Afrika, Asia, Amerika, Amerika Kusini na Australia. Huo ndio utaratibu wa serikali ya Tanzania.

Sasa unatakiwa uulize, Kwanini inakuwa hivyo?
Ok hiyo ni Tanzania. China Malkia pia anasujudiwa pia?
 
Back
Top Bottom