Kwanini Makonda hakumuita Askofu Pengo?

Wewe Kama hujui Catholic Church nini acha ujinga, unasoma novel halafu unakuja kuharisha hapa!
Think critically !!

Mie wala siamini hizo dini zenu lakini watu kama nyie mnahara hara mnaharibu environment!!

Lack of education and poverty is worse than pollution and is equally detrimental to the environment (enemy of environment)

Internet ni source ya education na maendeleo siyo pornography tu!!! Make use of it
 
Naye aitwe ndio maana anasema maisha yamekuwa marahisi
 
Wote makanjanja, wote wachumia tumbo, huamini fuata vigezo vya kuwa askofu, ukikosa kimoja muulize kwa nini we ni askofu, kwa nini usiache wengine waliokidhi vigezo.

Haya fungua 1 Timoth 3:1-7, hafu uje tusrmezane.

Mkuu hapo mstari wa 3 Askofu amekatazwa kunywa pombe? Jibu hilo tu kwa faida yangu bila kuongeza chochote ...
 

Thanks
 
Achezee RC kama anataka Tz ipotee kwenye ramani ya ulimwengu.
Ebu acha uoga wa ajabu ajabu

Sema tu jamaa hawezi kutajwa kutokana na heshima yake, na ukaribu wake kwa system inayoongoza nchi
 
inaonesha ndo malengo ya zoezi hili, badala kufanya kazi na kutuonesha matokeo wao wanapiga kelele ili waonekane wapo kazini
 
Walivyochukua za escrow walipeleka wapi
 
Ndiyo maana nikasema, Pengo akikamatwa vyombo vya habari duniani vitakuwa makini sana na hii italeta vurugu nyingi, wengi watataka kujuja hizo shutuma zinazohusishwa na kanisa katoliki kama ni za kweli, mkuu ninaona sakata ni kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…