ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,950
- 6,981
Mnaamini ktk ujinga ujinga. Kujikweza tu hakuna lolote.usifananishe Pengo na vitu vya kijinga!Roman Catholic ni shadow government na Pope ni shadow UN secretary
Mnaamini ktk ujinga ujinga. Kujikweza tu hakuna lolote.usifananishe Pengo na vitu vya kijinga!Roman Catholic ni shadow government na Pope ni shadow UN secretary
Labda ili kuua mzizi wa fitina wale ambao wanashukiwa wajipeleke tu! 😉Nitoe tu angalizo ...kwamba mimi binafsi siamini Askofu Pengo anaweza kujihusisha na biashara ya madawa.....kama ambavyo siamini Yusuph Manji kufanya biashara hiyo...
Lakini kuhusu Askofu Pengo mtakumbuka haya yeye mwenyewe amewahi kuzungumzia juu
ya yeye kuhusishwa na uzushi huuu....
na sio mara moja........
Sasa kwa kuwa wote waliowahi kutajwa kuhusika wanaitwa ili watoe maelezo yao huko
polisi....na wasiouhusika wanaachiwa......nimebaki na swali hili
ambalo hata Manji aliuliza ....Why Pengo hakuitwa?...
Pengo: Wananipakazia madawa ya kulevya!
Ingekuwa kupiga kura, bora kakobe mara elfu kuliko pengo. Soma 1timoth 3:1-6 utajua mtu kuitwa askofu apaswa kuwa na vigezo ganiTofautisha Kadinali Pengo anayetumikia kanisa takatifu katoliki kulingana na wito wake.
Pengo ni tofauti na akina Gwajima au mzee wa Upako, Kakobe n.k ambao wanaendesha makanisa hayo kama maduka au vitega uchumi vya kujipatia mali na faida kibao ili watafune na familia zao.
Labda miaka ya zaman mkuu..mana ni news ya ktambo mkuu ila znaitwaga conspiracy...ngum kuthibitshaDuh...hii kali ya kufungulia mwaka
Sasa unaweza ukampelekea Kamanda Sirro au Makonda jina hilo?
kwani Pengo hahusiki na madawa yaan unga??Tofautisha Kadinali Pengo anayetumikia kanisa takatifu katoliki kulingana na wito wake.
Pengo ni tofauti na akina Gwajima au mzee wa Upako, Kakobe n.k ambao wanaendesha makanisa hayo kama maduka au vitega uchumi vya kujipatia mali na faida kibao ili watafune na familia zao.
Umenena vyema.Siamini ktk dhana ya kanisa katoliki kuwa ndilo linaloongoza nchi japo ni dhana ya muda mrefu, japo ni kweli kutokana na ukubwa wake na weledi wa hali ya juu kanisa na viongozi wake wana heshima kubwa na ushawishi ktk serikali za mataifa mbalimbali, kwa hiyo nadhani kinachofanya kanisa lisiparamiwe hovyo ni hicho na sio kwamba ikulu yetu inaongozwa kwa rimoti tokea teki. Na kwa suala la kardinali kusaidia vita ya madawa, si lazima kuitwa publicly, kuna namna nyingi za kupata maelezo yake, cheo cha kardinali ni kikubwa duniani, hapa nchini hapana mtu hata anaekikaribia cheo hicho, mtuma post afikirie kama mkuu wa mkoa angefikiria kuwa maelezo ya raisi magufuli yangesaidia ktk kurahisisha vita hii, angefanya nini, je angemtaja ktk orodha ya 65 au ungetumika utaratibu mbadala, kama hilo lingekuwa gumu kwake, si ni zaidi kwa kardinali alie kiongozi wa wote wakiwemo wakuu wa mataifa na ulimwengu, "ungetambua ukuu wa nafasi ya kardinali ktk ulimwengu wa roho, ungeanguka na kufa" barikiwa.
Hao wanausalama nao wanawalakini. Kwa hali ya kawaida Pengo auze madawa afu izo hela apeleke wapi? Maana yeye hudumiwa na kanisa kwa kila kitu. Tungesema labda anawapa ndugu zake lakini nimeshaona humu nyuzi kwamba kwao ni maskini sana na hawasaidii kwa chochote.Pengo kwa maneno yake mwenyewe baada ya kuiona list ya jk ya madawa ya kulevya katamka watu wanampakazia kufanya biashara hiyo.
Source ya list ya jk ni vyombo vya usalama.
Source ya list ya makonda ni vijiwe na watumiaji na rafiki zake waliopo bara la america,china etc.
Source ya jk ni legit,
so how come jina la pengo halikutokea kwenye list ya mheshimiwa sana mr makonda?
kwa nini tofauti au kwa vile mkulu anatoka kwa dhehebu lileMkuu uaskofu wa gwajima sio wa Pengo hata kidogo. Naomba niishie hapo.
UmekaririUsimfananishe Askofu Pengo na vitu vya kijinga..!!
Kwani Gwajima hapati pesa kutoka kwa followers wake.Ukiamua kumgusa pengo lazima uwe umejipanga kwa vita ya kidiplomasia na kidini na Vatican. Hata ivo sio rahisi yeye kujihusisha na biashara iyo kwani waumini wanamhudumia kwa kila kitu ivyo hatakuwa na pakuitumia iyo pesa.
sasa mbona huyu cardinal hana hivi vigezo vyote alipataje huu uaskofu?Wote makanjanja, wote wachumia tumbo, huamini fuata vigezo vya kuwa askofu, ukikosa kimoja muulize kwa nini we ni askofu, kwa nini usiache wengine waliokidhi vigezo.
Haya fungua 1 Timoth 3:1-7, hafu uje tusrmezane.
![]()
Tafuta vifungu vinavyoongelea USEJA kwenye bible, ukishasoma njoo u comment tena.sasa mbona huyu cardinal hana hivi vigezo vyote alipataje huu uaskofu?