Amon Erasto
Member
- Oct 15, 2016
- 7
- 1
Una maana gani??!Mkuu uaskofu wa gwajima sio wa Pengo hata kidogo. Naomba niishie hapo.
Una maana gani??!Mkuu uaskofu wa gwajima sio wa Pengo hata kidogo. Naomba niishie hapo.
Unamaanisha nnMkuu uaskofu wa gwajima sio wa Pengo hata kidogo. Naomba niishie hapo.
Conspiracy theories sizizothibitishwa!!Hii biashara imejichimbia sana,katika ya waliotajwa usikute ni kweli wanafanya tatizo ushahidi sasa,lakini pia usikute sio kweli labda ni mambo ya siasa,
tena huyo pengo mnaemtetea ukakuta ndo druglord mzuri tu,
hii biashara ndo ilimwua pope John paul wa kwanza,
baada ya kuapishwa tu akagundua madudu ndani ya benki ya vatican ,ndani ya siku 33 tangu aapishwe wakamwekea sumu kwenye chakula akafa,
so kuwa cardinal sio kwamba amekua mungu
NA KILA MTU AKITUHUMIWA NANI ATAKUWA RAIA, NANI ATAKUWA POLISI, NANI ATAKUWA ASKARI MAGEREZA.Hata mimi nitauliza kwanini wewe hukuitwa?
Mkuu uaskofu wa gwajima sio wa Pengo hata kidogo. Naomba niishie hapo.
Mbna Pengo alishawahi kutajwa ila akawapuuza tu!! acheni uchokozi jamaniMa askofu wa kilokole na mashekhe ndo hupenda kuonewa sana bila kujali utu wao, ila naona kuna dhehebu huwa haliguswi ukilitaja tu wafwaaa.
Sawa katekistaJifunze kujifunza kabla hujaonyesha u.. wako
Inawezekana...mzee wa upako anasema hata yeye aliwahi kuhisiwa anafanya biashara ya madawa lakini baada ya uchunguzi wakamwacha mbona hawakumwita pengo mwenyewe alisema aliwahi kupakaziwa ishu ya madawa ya kulevya inawezekana uchunguzi ulishafanyika wakamkuta hana hatia ndio maana hakuitwa
acheni upotoshaji kutakua nakitu behind time will tell us pengo aitwe kama manji anathibitisha RC usimlinde mtu nnchi imepinda lazima inyookeHivi we mtoa post kwann hukuitwa?
Pengo anaongoza malaika ?Mkuu uaskofu wa gwajima sio wa Pengo hata kidogo. Naomba niishie hapo.
acha makabuli yafukuliweMmh hiyo level ya Pengo ni ingine kabisa aiseehh!
kwa nn hukutajwa ww, kunaharufu ya mtu kuwa punda hapa!Mtoa mada sio kila MTU tu ataitwa hata kama aliwahi kuongea suala hilo.
Sababu za kuitwa walioitwa anajua RC na team yake ya mkoa.
Kama wengine walivyokuambia mbona wewe hujaitwa.
Mambo mengine tuyaacha kwa mamlaka kuhusu sakata au vita hii ya drugs.
UUASKOFU PENGO KASOMA ZAIDI AU?Mkuu uaskofu wa gwajima sio wa Pengo hata kidogo. Naomba niishie hapo.