Kwanini Makonda hakumuita Askofu Pengo?

Kwanini Makonda hakumuita Askofu Pengo?

Huenda Makonda alitajiwa jina la Askofu Pengo, ila na yeye hakuamini kama ambavyo wewe huamini.. akatupia kapuni..

Usitegemee haki, kwa hukumu ya mwanadamu..[/QUOTE

Ila aliposikia la Mbowe akaona hapohapo, akaandika kwa haraka mpaka akakosea jina na kuandika Philemoni Mbowe badala ya Freeman!!!
 
Mkuu uaskofu wa gwajima sio wa Pengo hata kidogo. Naomba niishie hapo.
Upo sahihi mkuu lakini ukumbuke kuwa wote ni viongozi wa kiroho katika nafasi zao na anayejua uhalisia wa Yale wanayoyafanya ni Mungu,sina imani kama zile fedha haramu za Lugemalila huyo unayemwamini hazikupitia mikononi mwake.
 
Hii thread mods muwe macho ikifika page 3 hapatakalika hapa...nimejisemea tu naomba nisihukumiwe!
 
Nitoe tu angalizo ...kwamba mimi binafsi siamini Askofu Pengo anaweza kujihusisha na biashara ya madawa.....kama ambavyo siamini Yusuph Manji kufanya biashara hiyo...

Lakini kuhusu Askofu Pengo mtakumbuka haya yeye mwenyewe amewahi kuzungumzia juu
ya yeye kuhusishwa na uzushi huuu....

na sio mara moja........

Sasa kwa kuwa wote waliowahi kutajwa kuhusika wanaitwa ili watoe maelezo yao huko
polisi....na wasiouhusika wanaachiwa......nimebaki na swali hili

ambalo hata Manji aliuliza ....Why Pengo hakuitwa?...


Pengo: Wananipakazia madawa ya kulevya!
Kuna ile kanuni maarufu ya walevi YULE MUPE YULE MURUKE...pengine ndio kaitumia hapa
 
Mbona ambao hawajaitwa licha ya kutajwa kila siku amma wamewahi kukanusha wako wengi tu?

Ni mapema mno kuanza mambo ya mbona fulani.
 
Pamoja na utetezi wenu wote mnaoutoa hapa , kuhusu Cardinal, but akiwa kwenye mikutano ya TEC , treatment anayopata ni sawa na ile anayopata Bishop Ki cheap wa Bukoba.

Atoeaye haki ni mmoja tu aliyetuumba
 
Kwani wamesha maliza kuita majina ya hao watuhumiwa??.

Alafu hawa wanaoitwa badala ya kwenda kujieleza wao kama wao wananza kusema mbona flani hajaitwa.
Ukisema mbona flani hajaitwa manayake unajua anacho fanya ndiomana unashangaa kwanini hajaitwa.
Sasa badala ya kutoa taarifa police, unaongelea kwenye Media.
Katoe taarifa police ueleze unacho jua kuhusu yeye iliuwemsaada wa kudhibitisha tuhumazake.

Irrelevant
 
Ukiamua kumgusa pengo lazima uwe umejipanga kwa vita ya kidiplomasia na kidini na Vatican. Hata ivo sio rahisi yeye kujihusisha na biashara iyo kwani waumini wanamhudumia kwa kila kitu ivyo hatakuwa na pakuitumia iyo pesa.
 
Mkuu uaskofu wa gwajima sio wa Pengo hata kidogo. Naomba niishie hapo.
Wote makanjanja, wote wachumia tumbo, huamini fuata vigezo vya kuwa askofu, ukikosa kimoja muulize kwa nini we ni askofu, kwa nini usiache wengine waliokidhi vigezo.

Haya fungua 1 Timoth 3:1-7, hafu uje tusrmezane.

6bcabc3f6e60e2b57707d7cc484d2115.jpg
 
Tofautisha Kadinali Pengo anayetumikia kanisa takatifu katoliki kulingana na wito wake.

Pengo ni tofauti na akina Gwajima au mzee wa Upako, Kakobe n.k ambao wanaendesha makanisa hayo kama maduka au vitega uchumi vya kujipatia mali na faida kibao ili watafune na familia zao.
 
Back
Top Bottom