mrxho
Member
- Jan 17, 2017
- 61
- 13
asante kumbuka kwa mungu hakuna stafu.Wewe hii ndo serikali. huku hakuguswi wewe. Hakuna Wa kujaribu
asante kumbuka kwa mungu hakuna stafu.Wewe hii ndo serikali. huku hakuguswi wewe. Hakuna Wa kujaribu
Inabidi useme kwanini asirudie tena.Gwajima = Pengo?
usirudie tena
Kwavipi? Hebu tueleze.Ukizungumzia kanisa katoliki .. umezungumzia serikal ya tanzania
ROMAN CATHOLIC NA KKKT.Ma askofu wa kilokole na mashekhe ndo hupenda kuonewa sana bila kujali utu wao, ila naona kuna dhehebu huwa haliguswi ukilitaja tu wafwaaa.
Wangemtaja tu kama walivyo mtaja gwajimaNitoe tu angalizo ...kwamba mimi binafsi siamini Askofu Pengo anaweza kujihusisha na biashara ya madawa.....kama ambavyo siamini Yusuph Manji kufanya biashara hiyo...
Lakini kuhusu Askofu Pengo mtakumbuka haya yeye mwenyewe amewahi kuzungumzia juu
ya yeye kuhusishwa na uzushi huuu....
na sio mara moja........
Sasa kwa kuwa wote waliowahi kutajwa kuhusika wanaitwa ili watoe maelezo yao huko
polisi....na wasiouhusika wanaachiwa......nimebaki na swali hili
ambalo hata Manji aliuliza ....Why Pengo hakuitwa?...
Pengo: Wananipakazia madawa ya kulevya!
Pengo kama aliwahi kufanya hii biashara labda zamani,sikuhizi kazeeka sana ,hawezi.
Ila mi namlaumu anapokaa kimya vijana wake wanavyonyanyasa watu,
sijui anawaogopa au anaung mkono haya manyanyaso
Unaweza kuthibitisha hili?Hujui kama pengo ni mjumbe wa cabinet
Hao kina Gwajima uaskofu wa kujipachika, sio kama uaskofu wa wakatolikiUUASKOFU PENGO KASOMA ZAIDI AU?
Hakuna kitu kama hicho, papa mbona anachanwa kila siku na Trump,hakuna lolote zaidi ya u freemason humo ndaniusifananishe Pengo na vitu vya kijinga!Roman Catholic ni shadow government na Pope ni shadow UN secretary
Hivi we mtoa post kwann hukuitwa?
KPengo afanye biashara ana shida ipi wakati hana familia na kila anchotaka anapewa kumbuka yeye ana uraia wa Vatican pia
Kujipachika mtu ana PhD ya mambo ya dini wewe unasema Kujipachika, sasa huyo ambaye hajajipachika bwana pengo ana elimu gani, tuanzie hapoHao kina Gwajima uaskofu wa kujipachika, sio kama uaskofu wa wakatoliki
Kina makosa kidogo kwenye hiyo habari manji alisema pengo na masheikh, ikiachwa olivyoinatoa inatoa picha sio sahihiNitoe tu angalizo ...kwamba mimi binafsi siamini Askofu Pengo anaweza kujihusisha na biashara ya madawa.....kama ambavyo siamini Yusuph Manji kufanya biashara hiyo...
Lakini kuhusu Askofu Pengo mtakumbuka haya yeye mwenyewe amewahi kuzungumzia juu
ya yeye kuhusishwa na uzushi huuu....
na sio mara moja........
Sasa kwa kuwa wote waliowahi kutajwa kuhusika wanaitwa ili watoe maelezo yao huko
polisi....na wasiouhusika wanaachiwa......nimebaki na swali hili
ambalo hata Manji aliuliza ....Why Pengo hakuitwa?...
Pengo: Wananipakazia madawa ya kulevya!
Kama ni raia wa tz na varicano jibu unalo weweK
Kwa hiyo ana Uraia wa nchi mbili?
Au uraia wa vatican unahesabikaje?
PhD inategemea umeipata chuo gani au kivipi. Tunawaona akina.... wenye PhD na hawawezi hata kujieleza kwa kujieleza. Zipo zakina rwakatale, mrema, kikwete nkKujipachika mtu ana PhD ya mambo ya dini wewe unasema Kujipachika, sasa huyo ambaye hajajipachika bwana pengo ana elimu gani, tuanzie hapo
1. Drug dealers ni wafanyabiashara kama wewe wanatafuta pesa kujikimu na utajiri
2. Askofu Pengo mkuu wa kanisa kubwa duniani lenye waumini zaidi ya billion
3. Posho yake ni chakula, pocket money na hizo sijui atumie wapi maana hata sokoni haendi
4. Catholic Church, USA, China are the biggest economies of the world
5. Catholic Church na Reagan ndiyo waliangusha Soviet Union
That is the world order
Fuatilia vizuri mkuu kishatoa statement.Tafuta Gazeti la Kiongozi toleo la Jana.Ila amesema Serikali isiwekewe mipaka katika kupambanua na tatizo hilo.Na akaiasa jamii ipambane Na tatizo hili tokea kwenye familia Kwa kuhimiza vijana kuacha kutaka mazuri Kwa njia ya mkato.