Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,138
- 7,398
Pengo si wa kuchafua kijinga ndugu yangu
Panic ! Pengo ni mpiga debe wa ccm na Manji ni mfadhili wa ccm , wote waliwahi kutajwa vijiweni ( kumbuka kwamba Makonda amechukua majina yaliyotajwa vijiweni na wasela ) , sasa kwanini Pengo aachwe ?Kwa nini ww na baba yako hamkuitwa!!!
Nilichomsikia Manji akizungumza ni kwa nn Makonda hajamfuata Pengo ama mashehe kwa ajili ya kumshauri juu ya jambo hili na si kuwa alimtaja kwa kumhusisha na madawa ya kulevya.Nitoe tu angalizo ...kwamba mimi binafsi siamini Askofu Pengo anaweza kujihusisha na biashara ya madawa.....kama ambavyo siamini Yusuph Manji kufanya biashara hiyo...
Lakini kuhusu Askofu Pengo mtakumbuka haya yeye mwenyewe amewahi kuzungumzia juu
ya yeye kuhusishwa na uzushi huuu....
na sio mara moja........
Sasa kwa kuwa wote waliowahi kutajwa kuhusika wanaitwa ili watoe maelezo yao huko
polisi....na wasiouhusika wanaachiwa......nimebaki na swali hili
ambalo hata Manji aliuliza ....Why Pengo hakuitwa?...
Wakati wote niliona upo reasonable; but after this? You must be crazy!!
Acheni uzushi....Ma askofu wa kilokole na mashekhe ndo hupenda kuonewa sana bila kujali utu wao, ila naona kuna dhehebu huwa haliguswi ukilitaja tu wafwaaa.
Pengo: Wananipakazia madawa ya kulevya!Pengo si wa kuchafua kijinga ndugu yangu
Kwahyo wengine ndo wakuchafuaPengo si wa kuchafua kijinga ndugu yangu
Wengi tu eti ana mtetea mtu kisa dini yake hao nao ni majuha tuNilikuwa na MTU mmoja nilikuwa namuheshimu lkn alivyoanza kumtetea mtukufu kwa mambo ya kibwege sababu ya huo uDINI
Pengo: Wananipakazia madawa ya kulevya!Pengo si wa kuchafua kijinga ndugu yangu
Pengo afanye biashara ana shida ipi wakati hana familia na kila anchotaka anapewa kumbuka yeye ana uraia wa Vatican piaNitoe tu angalizo ...kwamba mimi binafsi siamini Askofu Pengo anaweza kujihusisha na biashara ya madawa.....kama ambavyo siamini Yusuph Manji kufanya biashara hiyo...
Lakini kuhusu Askofu Pengo mtakumbuka haya yeye mwenyewe amewahi kuzungumzia juu
ya yeye kuhusishwa na uzushi huuu....
na sio mara moja........
Sasa kwa kuwa wote waliowahi kutajwa kuhusika wanaitwa ili watoe maelezo yao huko
polisi....na wasiouhusika wanaachiwa......nimebaki na swali hili
ambalo hata Manji aliuliza ....Why Pengo hakuitwa?...
Sisi Waafrika kweli ni takataka na ndiyo maana tunaitwa Niggas, hapa tayari umeshaingiza Udini kwa akili yako fupi unafikiri Manji kwa kuwa ni Muislamu anakuchukulia wewe Mwafrika Muislamu sawa na yeye? Unafikiri wewe Muislamu Mwafrika ukikamatwa India au Uarabuni Waarabu/Wahindi watakutetea?
Jifunze kujithamini wewe, achana na mambo ya Dini, Dini zimetukuta Waafrika, tujifunze kujithamini kwanza!
Ngoja nikuulize swali, unafikiri Trump angepiga marufuku Waislamu weusi kuingia USA Waarabu/Wahindi Waislamu wangeandamana kupinga kutututea?
Soma hilo Gazeti Waasia wafurika kumuona Manji, lkn siyo Azan, Gwajima au Wema, kwa nini? Kama unafikiri hapa ishu ni Uislamu? Jibu ni rahisi wanatetea chao! Amka ndugu hizi Dini zimekuja tu Muhindi/Mwarabu siyo ndugu yako na haijalishi Dini yake!
![]()
1. Drug dealers ni wafanyabiashara kama wewe wanatafuta pesa kujikimu na utajiri
2. Askofu Pengo mkuu wa kanisa kubwa duniani lenye waumini zaidi ya billion
3. Posho yake ni chakula, pocket money na hizo sijui atumie wapi maana hata sokoni haendi
4. Catholic Church, USA, China are the biggest economies of the world
5. Catholic Church na Reagan ndiyo waliangusha Soviet Union
That is the world order
Ukimgusa Pengo ni direct attack kwa Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume ....unajua Crusade? ...
Thibitisha hilo.Ukizungumzia kanisa katoliki .. umezungumzia serikal ya tanzania
Nilichomsikia Manji akizungumza ni kwa nn Makonda hajamfuata Pengo ama mashehe kwa ajili ya kumshauri juu ya jambo hili na si kuwa alimtaja kwa kumhusisha na madawa ya kulevya.
Labda kama una lako binafsi na Pengo.
Lakini pia, Nani kakuambia orodha ya wanaohitajika imekamilishwa?
Kuwa na subira na uache chuki binafsi
Aliaminije Gwajima anatumia madawa?Huenda Makonda alitajiwa jina la Askofu Pengo, ila na yeye hakuamini kama ambavyo wewe huamini.. akatupia kapuni..
Usitegemee haki, kwa hukumu ya mwanadamu..