Kwanini Makonda hakumuita Askofu Pengo?

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,230
116,849
Nitoe tu angalizo ...kwamba mimi binafsi siamini Askofu Pengo anaweza kujihusisha na biashara ya madawa.....kama ambavyo siamini Yusuph Manji kufanya biashara hiyo...

Lakini kuhusu Askofu Pengo mtakumbuka haya yeye mwenyewe amewahi kuzungumzia juu
ya yeye kuhusishwa na uzushi huuu....

na sio mara moja........

Sasa kwa kuwa wote waliowahi kutajwa kuhusika wanaitwa ili watoe maelezo yao huko
polisi....na wasiouhusika wanaachiwa......nimebaki na swali hili

ambalo hata Manji aliuliza ....Why Pengo hakuitwa?...

Pengo: Wananipakazia madawa ya kulevya!
 
Kwa nini hakumuita sheikh mkuu wa Dar es Salaam ai Mufti Mkuu?
 
Nitoe tu angalizo ...kwamba mimi binafsi siamini Askofu Pengo anaweza kujihusisha na biashara ya madawa.....kama ambavyo siamini Yusuph Manji kufanya biashara hiyo...

Lakini kuhusu Askofu Pengo mtakumbuka haya yeye mwenyewe amewahi kuzungumzia juu
ya yeye kuhusishwa na uzushi huuu....

na sio mara moja........

Sasa kwa kuwa wote waliowahi kutajwa kuhusika wanaitwa ili watoe maelezo yao huko
polisi....na wasiouhusika wanaachiwa......nimebaki na swali hili

ambalo hata Manji aliuliza ....Why Pengo hakuitwa?...
Mtoa mada sio kila MTU tu ataitwa hata kama aliwahi kuongea suala hilo.

Sababu za kuitwa walioitwa anajua RC na team yake ya mkoa.

Kama wengine walivyokuambia mbona wewe hujaitwa.

Mambo mengine tuyaacha kwa mamlaka kuhusu sakata au vita hii ya drugs.
 
Kwani wamesha maliza kuita majina ya hao watuhumiwa??.

Alafu hawa wanaoitwa badala ya kwenda kujieleza wao kama wao wananza kusema mbona flani hajaitwa.
Ukisema mbona flani hajaitwa manayake unajua anacho fanya ndiomana unashangaa kwanini hajaitwa.
Sasa badala ya kutoa taarifa police, unaongelea kwenye Media.
Katoe taarifa police ueleze unacho jua kuhusu yeye iliuwemsaada wa kudhibitisha tuhumazake.
 
Kwani wanaoitwa kwa mahojiano kama wanajihusisha watakwenda kuripoti na huo unga?
 
Nitoe tu angalizo ...kwamba mimi binafsi siamini Askofu Pengo anaweza kujihusisha na biashara ya madawa.....kama ambavyo siamini Yusuph Manji kufanya biashara hiyo...

Lakini kuhusu Askofu Pengo mtakumbuka haya yeye mwenyewe amewahi kuzungumzia juu
ya yeye kuhusishwa na uzushi huuu....

na sio mara moja........

Sasa kwa kuwa wote waliowahi kutajwa kuhusika wanaitwa ili watoe maelezo yao huko
polisi....na wasiouhusika wanaachiwa......nimebaki na swali hili

ambalo hata Manji aliuliza ....Why Pengo hakuitwa?...
Wewe hii ndo serikali. huku hakuguswi wewe. Hakuna Wa kujaribu
 
Hii ya kutajana majina haileti ushwawishi juu ya Vita ya Madawa ya Kulevya iliyokusudiwa. Ingefanikiwa zaidi kama vyombo husika vingefanya uchunguzi kwanza, kisha kuwakamata wahusika halisi wakiwa na ushahidi. Ukimtaja mtuhumiwa kwenye vyombo vya habari, kisha ukamtaka ajisalimishe mwenyewe siku moja au zaidi mbele, basi ujue kuwa unampa nafasi ya kuharibu ushahidi. Na kama atakuwa hahusiki, unakuwa umemchafulia jina na hadhi yake kwenye jamii.
 
Back
Top Bottom