Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,190
- 34,527
kutokua na utayari wa uwajibikaji ndani ya ndoa, watu wengi hufikiri zaidi ile siku husika ya harusi bila kufikiri maisha baada ya harusi,
kuingia kwenye ndoa kwa sababu ya kitu fulani either ujauzito au shinikizo kutoka kwa ndugu jamaa hata wazazi,
utandawazi unachangia pia na kutoelewa nn wajibu wako kama mwanandoa
tamaa wengi hawajui kusema na nafsi zao na kutokua na hofu ya Mungu