Kwanini mahusiano/ndoa nyingi hazidumu?

Kwanini mahusiano/ndoa nyingi hazidumu?

Msihangaike Sana Wandugu. Kinachovunja ndoa siku hz ni kwamba tendo la ndoa liko nje nje. kwa maneno mengine mbunye ziko bwelele!

na kwa kawaida kwenye ndoa kunakuwa na misuguano. sasa siku hz ikitokea mmesuguano kidogo tu mwenzako analambisha pembeni.

basi utakuta mnasuluhisha wapi kakomaa tu kwamba ndoa ivunjike.
 
Over expectations hii ni big problem, unamchukulia mwenza km malaika akiteleza kidogo tu unampiga chini ukienda mbele unaona afadhal ulikotoka..mengine yawe yanavumiliwa mana hamna malaika
 
Jambo kuu hapo ni kutokutambua ndoa ni nini, nafikiri hapo ndipo panahitaji msisitizo zaidi, tukitambua ndoa ni nini then tujitambue na tujue tunachokiendea.
Shemeji maadili yenyewe yamevaa lubega inakuwa kazi kweli kweli hakuna uchunguzi familia ile ikoje hapo ndio unakumbuka mambo ya chinua na okwonko.
 
Asante kwa kuongezea ndugu...
Mzee mwenzangu naona umefunga mwaka kwa thread iliyojaa pomoni hongera. Kiukweli tutajaribu kuijaziliza lakini imeisha jaa ujazo mkubwa tu maisha ya kuiga yanatusumbua kuna wanandoa vipaumbele vingine mpaka unachoka havina maana ila ndio ndoa inavunjika hivyo achilia mbali uswazi ndoa inaweza kuisha kwa kumnyima bibie pesa za kununua dira la kigodoro.
 
Mzee mwenzangu naona umefunga mwaka kwa thread iliyojaa pomoni hongera. Kiukweli tutajaribu kuijaziliza lakini imeisha jaa ujazo mkubwa tu maisha ya kuiga yanatusumbua kuna wanandoa vipaumbele vingine mpaka unachoka havina maana ila ndio ndoa inavunjika hivyo achilia mbali uswazi ndoa inaweza kuisha kwa kumnyima bibie pesa za kununua dira la kigodoro.

Kama Guiness book of record wakizichunga ndoa za sasa hivi....wanaweza wakaziweka kwenye maajabu ya dunia...
 
Kwa sasa suala la uchumi limeleta ufa na kuvunja ndoa nyingi..

Sitaki kuamini hili moja kwa moja kwa sababu kuna matajiri wengi tuu huko ulaya na ndoa zao hazina mvuto na hazikudumu pia.... Lakini tunaona pia kuna familia ambazo kipato kinapoongezeka ndio matatizo zaidi yanaibuka katika ndoa na kusababisha sintofahamu kiasi cha kutosha kabisa....

Something is wrong somewhere... somehow....
 
mwanamke au mwanaume kuendelea kimapenzi na mtu ambae ameanza nae muda mrefu lakini mwisho wa siku asimuoe!akaendelea nae ijapokuwa ana ndoa au wote wako katika ndoa!kutoachana na X ndio chanzo kikubwa cha kuvuruga ndoa
Very true
 
wengi wanafikiri ndoa ni kugegedana tuuu.....uelewa finyu wa maana halisi ya ndoa ndio tatizo.......
wengi wanafikiri ndoa ni kugegedana tuuu.....uelewa finyu wa maana halisi ya ndoa ndio tatizo.......

Very true Boss.. 1 time nilijiuliza hilo swali hivi jinsi nik enjoy sex na kwenye ndoa ndyo swala hilo tuu linanipeleka huko?! nikaona mh mhh kuna zaidi ya hapo tena muhim sana.. so elimu ya ndoa inahitajika sana watu wanapoamua ishi chini ya paa na kujifunika shuka moja
 
Babu na bibi zetu mpaka Leo wapo kwenye mahusiano .. Unakuta wtu wanatimiza miaka 60 ya kuish pamoja

Lakin kizaz Chetu ndoa zmekua zikivunjika kila kukichwa...nilishuhudia mke akipewa talaka siku moja baada ya harusi

Zama hzi ndoa ikifkisha miaka 10 ujue watu wamevumiliana sana...
Je, nini kinasababsha hili janga??

1) usaliti?
2) kutokua makini wakat wa kuchagua mwenza?
3) wanandoa kutojua wajibu wao?
4) utandawazi unachangia?

Tujadiliane huu Uzi wakuu
 
Hili ni gumu kulifanunua na kujua makosa hasa yanayosababisha ndoa kuvunjika mapema..maana kila mmoja na serikali yake kichwani mwake
 
Back
Top Bottom