MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,512
atumie cha kwaoHuyu anko bwana! Kiswahili shida, kiingereza ndo usiseme, sijui tumsaidiaje sasa
Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahaaaaa kumbe babu bado haujaacha kutumia majani ya chai kwenye mboga.Ilikuwa kabla Ethiopian Airline haijawa bomba la gesi la kupitisha korosho tunazonunua kwa fedha zetu...
Tuko kwenye "laiti tlaki"
OFKOZI PIPO YUZIDI TU DAI INI ZE ZE ZE ZE ZE LEKI.Sijui shida ni nini tu? Maana Kiswahili ni lugha nzuri tu yenye hadhi na viwango stahiki vya lugha bora.
Magufuli haishi kuchomekea vimaneno vyake vya broken English ; hata kwenye mkutano wa wakuu wa jumuiya ya Afrika mashariki alinishangaza kwa kuingiza vijimaneno vyake vibovu vya kiingereza!
Lugha ya Kiswahili ikizungumzwa kwa ufasaha unaotakiwa ni lugha nzuri mno na ya heshima! Nilitegemea kwenye mkutano ule akiwakilishe Kiswahili kwa mbwembwe na madaha yote ya kisarufi lakini akaishia kukoroga tu mara achomekee vimisamiati vyake vya hovyo! Vimisamiati vyenyewe broken! Hata tenses tu hawezi!
Yule mwanamama wa kirusi alipokuja ikulu, Rais akawaponda wanaoongea kiingereza, eti 'wanajifanya'! Ebo!!? Juzi katutia aibu, badala ya kusema "air hostesses" kasema air 'hostages'!
Ningemshauri Rais aongee Kiswahili, tena Kiswahili sanifu!!
Kiingereza chake hafifu sana, hawezi kabisa sarufi! Tutaepuka "intaprentinyuwa" , "fenti fodi" na matakataka mengine ya dizaini hiyo!
akiwa kanda ya ziwa anaongea kisukuma tu kama siyo msukuma huambulii kitu.Aongee ki lugha
Haaa haaa wakuu taratibu jamaniUkweli ni kwamba :Hizo lugha mbili, kiswahili na kiingereza,zinampiga chenga sana. Kwa ufupi anamangamanga nazo. Ifikie sehemu aruhusiwe kuongea lugha yake ya asili tu tutafsiriwe.
Kihutuipi hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
CCM wawe na viroja halafu uwadai CDM hoja? Are you out of your head?chadema leteni hoja acheni vihoja
Sawa chief Mangungo of Msovero uliyeamua kuuza maeneo makubwa kwa malipo ya shanga za kiunoni ili zikusaidie kucheza singeli kitandani na mchepuko wakochadema leteni hoja acheni vihoja
Unachuki,sio kwa uwasilishaji huoSijui shida ni nini tu? Maana Kiswahili ni lugha nzuri tu yenye hadhi na viwango stahiki vya lugha bora.
Magufuli haishi kuchomekea vimaneno vyake vya broken English ; hata kwenye mkutano wa wakuu wa jumuiya ya Afrika mashariki alinishangaza kwa kuingiza vijimaneno vyake vibovu vya kiingereza!
Lugha ya Kiswahili ikizungumzwa kwa ufasaha unaotakiwa ni lugha nzuri mno na ya heshima! Nilitegemea kwenye mkutano ule akiwakilishe Kiswahili kwa mbwembwe na madaha yote ya kisarufi lakini akaishia kukoroga tu mara achomekee vimisamiati vyake vya hovyo! Vimisamiati vyenyewe broken! Hata tenses tu hawezi!
Yule mwanamama wa kirusi alipokuja ikulu, Rais akawaponda wanaoongea kiingereza, eti 'wanajifanya'! Ebo!!? Juzi katutia aibu, badala ya kusema "air hostesses" kasema air 'hostages'!
Ningemshauri Rais aongee Kiswahili, tena Kiswahili sanifu!!
Kiingereza chake hafifu sana, hawezi kabisa sarufi! Tutaepuka "intaprentinyuwa" , "fenti fodi" na matakataka mengine ya dizaini hiyo!
Tena iwe na jina 'uncommon English grammatical mistakes.'Tukiunganisha phont phage, air hostages, interpretenuaa etc tunaweza kuwa na kamusi yetu made in Tanzania
Sijui shida ni nini tu? Maana Kiswahili ni lugha nzuri tu yenye hadhi na viwango stahiki vya lugha bora.