Kwanini Magufuli hataki kuongea Kiswahili?

Acha upumbavu, raisi kukosea neno moja katika 1000 , ndio uanzishe Uzi, yaani chadema mmekosa hoja, kila kitu mnadandia , badala mjadili kuhusu mustakabali wa kupoteza jimbo la Arumeru kijinga, unaanzisha Uzi kumkebehi raisi,

Pumbaff

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Chadema ni nani hapa? au umelewa ugoro?
 
Acha upumbavu, raisi kukosea neno moja katika 1000 , ndio uanzishe Uzi, yaani chadema mmekosa hoja, kila kitu mnadandia , badala mjadili kuhusu mustakabali wa kupoteza jimbo la Arumeru kijinga, unaanzisha Uzi kumkebehi raisi,

Pumbaff

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Yeye Kamsema Rais hajamsema "raisi" unayemjua wewe. Kwa hiyo "signature" yako tu ya Arsenal pekee inaonyesha dhahiri wewe pia ni mlengwa wa lugha gongana...poole
 
Back
Top Bottom