Kwanini Magufuli hataki kuongea Kiswahili?

Bibi achaga basi uchochezi baba Asprin anakusubiria umwandalie chai.
Hebu kawajibike unakua kama vile haujawahi kufanya kazi za uea hosteji.

Maendeleo hayana chama
Ilikuwa kabla Ethiopian Airline haijawa bomba la gesi la kupitisha korosho tunazonunua kwa fedha zetu...

Tuko kwenye "laiti tlaki"
 
Sijui shida ni nini tu? Maana Kiswahili ni lugha nzuri tu yenye hadhi na viwango stahiki vya lugha bora.

Magufuli haishi kuchomekea vimaneno vyake vya broken English ; hata kwenye mkutano wa wakuu wa jumuiya ya Afrika mashariki alinishangaza kwa kuingiza vijimaneno vyake vibovu vya kiingereza!

Lugha ya Kiswahili ikizungumzwa kwa ufasaha unaotakiwa ni lugha nzuri mno na ya heshima! Nilitegemea kwenye mkutano ule akiwakilishe Kiswahili kwa mbwembwe na madaha yote ya kisarufi lakini akaishia kukoroga tu mara achomekee vimisamiati vyake vya hovyo! Vimisamiati vyenyewe broken! Hata tenses tu hawezi!

Yule mwanamama wa kirusi alipokuja ikulu, Rais akawaponda wanaoongea kiingereza, eti 'wanajifanya'! Ebo!!? Juzi katutia aibu, badala ya kusema "air hostesses" kasema air 'hostages'!

Ningemshauri Rais aongee Kiswahili, tena Kiswahili sanifu!!

Kiingereza chake hafifu sana, hawezi kabisa sarufi! Tutaepuka "intaprentinyuwa" , "fenti fodi" na matakataka mengine ya dizaini hiyo!
shida ni kwamba hata hiyo kiswahili nayo ni shida kama intaprenyuuuu[emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji23] [emoji23] nadhani kirundi ndio fasaha kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui shida ni nini tu? Maana Kiswahili ni lugha nzuri tu yenye hadhi na viwango stahiki vya lugha bora.

Magufuli haishi kuchomekea vimaneno vyake vya broken English ; hata kwenye mkutano wa wakuu wa jumuiya ya Afrika mashariki alinishangaza kwa kuingiza vijimaneno vyake vibovu vya kiingereza!

Lugha ya Kiswahili ikizungumzwa kwa ufasaha unaotakiwa ni lugha nzuri mno na ya heshima! Nilitegemea kwenye mkutano ule akiwakilishe Kiswahili kwa mbwembwe na madaha yote ya kisarufi lakini akaishia kukoroga tu mara achomekee vimisamiati vyake vya hovyo! Vimisamiati vyenyewe broken! Hata tenses tu hawezi!

Yule mwanamama wa kirusi alipokuja ikulu, Rais akawaponda wanaoongea kiingereza, eti 'wanajifanya'! Ebo!!? Juzi katutia aibu, badala ya kusema "air hostesses" kasema air 'hostages'!

Ningemshauri Rais aongee Kiswahili, tena Kiswahili sanifu!!

Kiingereza chake hafifu sana, hawezi kabisa sarufi! Tutaepuka "intaprentinyuwa" , "fenti fodi" na matakataka mengine ya dizaini hiyo!
pipo yuzi tu dai ini dhe dhe reki[emoji12] [emoji12] [emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha upumbavu, raisi kukosea neno moja katika 1000 , ndio uanzishe Uzi, yaani chadema mmekosa hoja, kila kitu mnadandia , badala mjadili kuhusu mustakabali wa kupoteza jimbo la Arumeru kijinga, unaanzisha Uzi kumkebehi raisi,

Pumbaff

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
pipo yuz tu dai in dhe dhe dhe reki[emoji196] [emoji218] [emoji216] [emoji16] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui shida ni nini tu? Maana Kiswahili ni lugha nzuri tu yenye hadhi na viwango stahiki vya lugha bora.

Magufuli haishi kuchomekea vimaneno vyake vya broken English ; hata kwenye mkutano wa wakuu wa jumuiya ya Afrika mashariki alinishangaza kwa kuingiza vijimaneno vyake vibovu vya kiingereza!

Lugha ya Kiswahili ikizungumzwa kwa ufasaha unaotakiwa ni lugha nzuri mno na ya heshima! Nilitegemea kwenye mkutano ule akiwakilishe Kiswahili kwa mbwembwe na madaha yote ya kisarufi lakini akaishia kukoroga tu mara achomekee vimisamiati vyake vya hovyo! Vimisamiati vyenyewe broken! Hata tenses tu hawezi!

Yule mwanamama wa kirusi alipokuja ikulu, Rais akawaponda wanaoongea kiingereza, eti 'wanajifanya'! Ebo!!? Juzi katutia aibu, badala ya kusema "air hostesses" kasema air 'hostages'!

Ningemshauri Rais aongee Kiswahili, tena Kiswahili sanifu!!

Kiingereza chake hafifu sana, hawezi kabisa sarufi! Tutaepuka "intaprentinyuwa" , "fenti fodi" na matakataka mengine ya dizaini hiyo!
Ngoja wapambe wake wakuu lemutuz na musiba wakusikie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom